Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Imekuwaje tena wadau ?
Na tbc nayo waikate hawa kina shelukindo Kama ni wasimamizi kwa hapa nyumbani hawajui Hali za watanzania wakalisimamia hili kuboresha soko lao maana Azam vingamuzi vyao ni Tsh 99000 Cha Hali ya chini na vinanunulika sio mchezo DStv naviona mpaka mitaani madishi yameegeshwa barabaran 59000.Ushauri Wangu Kwa Dstv, hata ile channel ya matangazo Yaani dish Tv- 100.nayo waikate.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kitu Kizito Kichwaniπ€£π€£π€£kwa hiyo wana DStv waziri kawapiga tatu au sio!!!π€£π€£π€£π€£
ππUnawazidishia machunguNa hakuna kitu mnaeza wafanya ππππππππππππ
kama wanabisha wajarbu kusema Suu waone ππππUnawazidishia machungu
Wakiziacha mtakuwa hamlipi kabisa mnawatia hasara πKaburu ni kaburu tuuuuuuuu