Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hata suala la bando Nape alitudanganya mchana kweupeWakuu kuuliza Sio Ujinga
.
Niliwahi sikia kupitia Kwa Waziri Mmoja akijinasibu Kwamba local Channel Zote za Tz zimerudishwa kwenye Decoder ya DStv.
.
Na Hata Kama Kifurushi chako kikiisha zile local channels zinaendelea kuonekana.
.
Lakini Cha ajabu kifurushi chako Cha DStv kikiisha na kama Haujalipia Chanel ambayo Iko DStv ambayo ni free kuangalia ni Tbc1 tu.
.
Je DStv Hawakufuata Masharti ya Waziri Husika?