Waziri Nape Alitudanganya Local Channels Kuonekana Kwenye King'amuzi Cha DStV?

Hata suala la bando Nape alitudanganya mchana kweupe
 
Kwani kilochofanya zikaondolewa si kuonekana kwamba walikiuka masharti ya mkataba ambayo yapo kisheria,kwahivyo ili ziwe za bule inatakiwa Sheria ipelekwe bungeni Tena ifanyiwe marekebisho nasio hayo matamko ya kisiasa ya kutaka cheap popularity.
 
Hata StarTimes hakuna Chanel ya bure Hadi TBC
 
DStv Wamerudisha Kwenye King'amuzi Chao Local Channels za Tz Kasoro Wasafi+TvE+Channel10+
.
Kumbe Kelle zetu zinasikika WAkati mwingine
.
Asante Sana DStv sio Kwamba Nilishindwa Kulipa Ila Nilitaka Lile agizo la Serikali Litekelezwe πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Wakuu hivi Kuna tofauti kati ya free to air channels na Local channels.πŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈ
 
Update account yako zitaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…