Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Aaah ndo wale madalali ya mifumo ya wahindi wameanza kampeni mdogo mdogoWaziri Nape ameyasema hayo katika Kongamano la Jukwaa la Fikra kuhusu mabadiliko ya digitali leo tar 20 jijini Dar, akisema kuwa inauma kusikia mifumo ya Tanzania bado haiwezi kusomana.
Ametolea mfano kipindi alipoenda Hospitali ya Benjamin Mkapa na kufanya kipimo cha MRI ya mguu wake halafu alivyoenda Muhimbili MOI hawakuweza kupata taarifa hiyo na kumwambia afanye kipimo tena.
Kama waziri anashangazwa na kuumia, sisi wengine tufanye nini?
Whaaaaaaat?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Suluhisho la hili ni kutafuta MWEKEZAJI !!!!
Yena Mwarabu wa DubeiSuluhisho la hili ni kutafuta MWEKEZAJI !!!!
Yeye hashangai alivyotembea juu ya wanawake kule Lindi?!Waziri Nape ameyasema hayo katika Kongamano la Jukwaa la Fikra kuhusu mabadiliko ya digitali leo tar 20 jijini Dar, akisema kuwa inauma kusikia mifumo ya Tanzania bado haiwezi kusomana.
Ametolea mfano kipindi alipoenda Hospitali ya Benjamin Mkapa na kufanya kipimo cha MRI ya mguu wake halafu alivyoenda Muhimbili MOI hawakuweza kupata taarifa hiyo na kumwambia afanye kipimo tena.
Kama waziri anashangazwa na kuumia, sisi wengine tufanye nini?
Tukisema tutafute mwekezaji kwenye kila kitu ili kupata ubora, tutajikuta hata vibanda vyetu vya samaki tunatafuta mwekezaji.Suluhisho la hili ni kutafuta MWEKEZAJI !!!!
Ulishawahi kumuelewa Nape?Waziri Nape ameyasema hayo katika Kongamano la Jukwaa la Fikra kuhusu mabadiliko ya digitali leo tar 20 jijini Dar, akisema kuwa inauma kusikia mifumo ya Tanzania bado haiwezi kusomana.
Ametolea mfano kipindi alipoenda Hospitali ya Benjamin Mkapa na kufanya kipimo cha MRI ya mguu wake halafu alivyoenda Muhimbili MOI hawakuweza kupata taarifa hiyo na kumwambia afanye kipimo tena.
Kama waziri anashangazwa na kuumia, sisi wengine tufanye nini?
Kama hadi waziri anashangaa sisis wananchi ndio tumeduwaa kabisa hatuelewiWaziri Nape ameyasema hayo katika Kongamano la Jukwaa la Fikra kuhusu mabadiliko ya digitali leo tar 20 jijini Dar, akisema kuwa inauma kusikia mifumo ya Tanzania bado haiwezi kusomana.
Ametolea mfano kipindi alipoenda Hospitali ya Benjamin Mkapa na kufanya kipimo cha MRI ya mguu wake halafu alivyoenda Muhimbili MOI hawakuweza kupata taarifa hiyo na kumwambia afanye kipimo tena.
Kama waziri anashangazwa na kuumia, sisi wengine tufanye nini?
Nimecheka sanaDubai walishasema tuwajulishe kunapotokea opportunity yoyote
.Ulishawahi kumuelewa Nape?
Aendelee kukanyaga migongo ya wamama huko Mtama, ataisoma 2025