Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kwako waziri Nape
Siku za hivi karibuni kumejitokeza hali isiyo ya kawaida ya spidi ya Mitandao ya Voda na Airtel kuwa ndogo sana.
Licha ya spidi kuendelea kuwa ndogo lakini gharama za vifurushi vyao imeendelea kuwa ileile (ukiachilia mbali like sakata la mwaka Jana la kupanda bei za vifurushi).
Tunaiomba serikali kupitia TCRA iingile kati ione kuwa he haya makampuni yanataka yaweke presha kulazimisha upandaji wa bei za vifurushi ndo yatupe huduma Bora?
Ni jambo la kusikitisha kuona hii Mitandao spidi yake inakuwa ya kinyonga wakati wananchi tunalipa Hela ndefu kupata vifurushi vyetu
Mheshimiwa Waziri lifanyie kazi hili suala mrandao umekuwa slow sana kazi za maendeleo zinazohitaji data hazifanyiki ipasavyo.
Mtandao unaokera zaidi ni hawa Airtel, Mtandao wao umekuwa slow kushinda kinyonga.