GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Kama Waziri wa Sekta hii ya Habari nimeagiza kufanyike Uchunguzi wa Kina ni kwanini kwa Siku za karibuni kila kukitokea tu Ajali zinazohusisha Misafara ya Viongozi nchini Gari zinazohusika ni zilizobeba Waandishi wa Habari na Wao ndiyo hufa kwa wingi" Waziri wa Habari Nape Nauye.
Kamarada (Comrade) wangu Waziri Nape Nauye GENTAMYCINE nina Maswali yangu mengi juu yako dhidi ya hii Kauli yako ila kwa Kuanzia sikuulizi sasa, ila nawaachia sasa 'Great Thinkers' wa 'JamiiForums' wakukabili na ikiwezekana wao sasa ndiyo Wakuulize.
Labda nihitimishe tu kwa sasa kwa Kukuuliza hivi Waziri Nape Nauye jana ulipoitoa hii Kauli pale Mazishini Mkoani Mwanza mbele ya ule Umma (Umati) Kichwani mwako ulikuwa sawa sawa au labda bado ile 'appointment hangover' inakutesa? Umenisikitisha na Kunishangaza sana Kamarada wangu.
Acha 'Kuhemka' na 'Kudemka' mapema.