johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Rasimu ya Warioba ilishakamilika kisheria ikazaa Katiba PendekezwaKuliko kuandika hizi pumba za Huyo Jamaa wa goli la mkono!
Si bora ungeimba wimbo huu;-
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Sawasawa katiba ya goli la mkono sio!?Rasimu ya Warioba ilishakamilika kisheria ikazaa Katiba Pendekezwa
Kuwa MzalendoMATAGA dozi imeanza kufanya kazi mlifikiri mnaumiza wapinzani eh?
Au mlifikiri ukiwa na kadi ya kijani unakuwa exempted na tozo?
Kuwa mjinga nao ni uzalendo?Kuwa Mzalendo
Lipa Tozo kwa maendeleo ya TaifaKuwa mjinga nao ni uzalendo?
Hivi tuna bunge kweli?Waziri wa Tehama mh Nape amesema Serikali ya awamu ya 6 ni sikivu ndio sababu kilio cha Tozo kimesikilizwa na kushughulikiwa
Nape alikuwa anajibu swali la Salim Kikeke wa BBC aliyetaka kujua Msimamo wa Serikali kuhusu Tozo
Nape amesema baada ya kilio cha Tozo kusikika walichukua hatua ya kuzipunguza kwa takribani 50[emoji2398]
Kwa yale makato ya miamala ya benki Nape amesema hilo liko chini ya Wizara ya Fedha ambao ndio watalitolea ufafanuzi lakini pale Bungeni waliweka baadhi ya misamaha ( exemptions) ili kuondoa double taxation
Waziri Nape alikuwa anahojiwa na mtangazani maarufu duniani Salim Kikeke wa BBC
Source BBC Dira ya Dunia
Na mbunge wa NkasiHivi tuna bunge kweli?
Mie najua kuna vikao vya Ccm vinavyo shirikidha wezi(covid)
Msimlaumu, huyu ni kati ya wanaccm waliotukuka, hawa hawfikilii watakula nini wala watalala wapi kwani vyote vipo na ni serikali inamhangaikia ikiwa pamoja na losho ya nyumba, simu, maji, chakula na usafiri upo saa 24 kwa siku mara wiki, mwezi na mwaka! Lazima utasema lote lile chini ya mbingu.Waziri wa Tehama mh Nape amesema Serikali ya awamu ya 6 ni sikivu ndio sababu kilio cha Tozo kimesikilizwa na kushughulikiwa
Nape alikuwa anajibu swali la Salim Kikeke wa BBC aliyetaka kujua Msimamo wa Serikali kuhusu Tozo
Nape amesema baada ya kilio cha Tozo kusikika walichukua hatua ya kuzipunguza kwa takribani 50©
Kwa yale makato ya miamala ya benki Nape amesema hilo liko chini ya Wizara ya Fedha ambao ndio watalitolea ufafanuzi lakini pale Bungeni waliweka baadhi ya misamaha ( exemptions) ili kuondoa double taxation
Waziri Nape alikuwa anahojiwa na mtangazani maarufu duniani Salim Kikeke wa BBC
Source BBC Dira ya Dunia
Katiba pendekezwa ya maccm siyo wananchiRasimu ya Warioba ilishakamilika kisheria ikazaa Katiba Pendekezwa
Uzalendo wa kuumia?Kuwa Mzalendo