johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri wa Tehama mh Nape amesema Serikali ya awamu ya 6 ni sikivu ndio sababu kilio cha Tozo kimesikilizwa na kushughulikiwa
Nape alikuwa anajibu swali la Salim Kikeke wa BBC aliyetaka kujua Msimamo wa Serikali kuhusu Tozo
Nape amesema baada ya kilio cha Tozo kusikika walichukua hatua ya kuzipunguza kwa takribani 50©
Kwa yale makato ya miamala ya benki Nape amesema hilo liko chini ya Wizara ya Fedha ambao ndio watalitolea ufafanuzi lakini pale Bungeni waliweka baadhi ya misamaha ( exemptions) ili kuondoa double taxation
Waziri Nape alikuwa anahojiwa na mtangazani maarufu duniani Salim Kikeke wa BBC
Source BBC Dira ya Dunia