Waziri Nape: Kuna tofauti Kati ya Tozo na makato ya miamala ya benki, Tozo za miamala ya Simu tumezipunguza kwa 50%

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa Tehama mh Nape amesema Serikali ya awamu ya 6 ni sikivu ndio sababu kilio cha Tozo kimesikilizwa na kushughulikiwa

Nape alikuwa anajibu swali la Salim Kikeke wa BBC aliyetaka kujua Msimamo wa Serikali kuhusu Tozo

Nape amesema baada ya kilio cha Tozo kusikika walichukua hatua ya kuzipunguza kwa takribani 50©

Kwa yale makato ya miamala ya benki Nape amesema hilo liko chini ya Wizara ya Fedha ambao ndio watalitolea ufafanuzi lakini pale Bungeni waliweka baadhi ya misamaha ( exemptions) ili kuondoa double taxation

Waziri Nape alikuwa anahojiwa na mtangazani maarufu duniani Salim Kikeke wa BBC

Source BBC Dira ya Dunia
 
Kiufupi kilichofanyika ni kama hivi 🐒👇😁

1661369385671.jpg
 
Hizo tafsiri au tofauti kati ya tozo au makato hazitusaidii chochote, whatever are they, sisi zote hatuzitaki kabisa, zifutwe haraka sana.
 
MATAGA dozi imeanza kufanya kazi mlifikiri mnaumiza wapinzani eh?

Au mlifikiri ukiwa na kadi ya kijani unakuwa exempted na tozo?
 
Waziri wa Tehama mh Nape amesema Serikali ya awamu ya 6 ni sikivu ndio sababu kilio cha Tozo kimesikilizwa na kushughulikiwa

Nape alikuwa anajibu swali la Salim Kikeke wa BBC aliyetaka kujua Msimamo wa Serikali kuhusu Tozo

Nape amesema baada ya kilio cha Tozo kusikika walichukua hatua ya kuzipunguza kwa takribani 50[emoji2398]

Kwa yale makato ya miamala ya benki Nape amesema hilo liko chini ya Wizara ya Fedha ambao ndio watalitolea ufafanuzi lakini pale Bungeni waliweka baadhi ya misamaha ( exemptions) ili kuondoa double taxation

Waziri Nape alikuwa anahojiwa na mtangazani maarufu duniani Salim Kikeke wa BBC

Source BBC Dira ya Dunia
Hivi tuna bunge kweli?
Mie najua kuna vikao vya Ccm vinavyo shirikidha wezi(covid)
 
Waziri wa Tehama mh Nape amesema Serikali ya awamu ya 6 ni sikivu ndio sababu kilio cha Tozo kimesikilizwa na kushughulikiwa

Nape alikuwa anajibu swali la Salim Kikeke wa BBC aliyetaka kujua Msimamo wa Serikali kuhusu Tozo

Nape amesema baada ya kilio cha Tozo kusikika walichukua hatua ya kuzipunguza kwa takribani 50©

Kwa yale makato ya miamala ya benki Nape amesema hilo liko chini ya Wizara ya Fedha ambao ndio watalitolea ufafanuzi lakini pale Bungeni waliweka baadhi ya misamaha ( exemptions) ili kuondoa double taxation

Waziri Nape alikuwa anahojiwa na mtangazani maarufu duniani Salim Kikeke wa BBC

Source BBC Dira ya Dunia
Msimlaumu, huyu ni kati ya wanaccm waliotukuka, hawa hawfikilii watakula nini wala watalala wapi kwani vyote vipo na ni serikali inamhangaikia ikiwa pamoja na losho ya nyumba, simu, maji, chakula na usafiri upo saa 24 kwa siku mara wiki, mwezi na mwaka! Lazima utasema lote lile chini ya mbingu.
 
Back
Top Bottom