Waziri Nape kwenye Uzinduzi wa JamiiCheck ya Jamiiforums

Waziri Nape kwenye Uzinduzi wa JamiiCheck ya Jamiiforums

Taarifa zinazotolewa na media zinaweza kuhakikiwa na mfumo huu ili kuzipa uthibitisho au la.

Kwa mfano, Demi kananiliu kihasara na Msanii, aunthentication yake unaipata kupitia Jamii-Facts-Check kwa kubalance majibu ama uthibitisho wa pande husika....

Lakini bado nina hangober ya bia za promosheni ngoja aje le grand mopao Maxence Melo kuwrka maelezo yabkina
Hakuna kitu nimeelewa hapo😅
Umepata supu kweli?
 
JF ya mwanzo ilijengwa juu ya facts, hapa kati jukwaa limekuwa kokoro,ni vyema kwamba ile asili ya JF inarejeshwa
 
Kwa kweli subu sijapata mwali.

Huu umeme wa kupima na mvua za mgao imenibidi nilale tu ndani🙃
Ukute hata maji hujajimwagia. Na maji hakuna. Hangover itaishaje
 
kuna ka ukiritimba kameanza kuna thread zinafutwa ikiwa tu zimemgusa mtu wenu wa karibu
 
Ukute hata maji hujajimwagia. Na maji hakuna. Hangover itaishaje
Hivi unajua kabisa kina Zero IQ wanaishi Dar. Unatarajia mgao utaisha kweli?

Dhambi zingine wacha tule bia kwanza🤪
 
[emoji23][emoji23] Kaa we jamaa muongo nipa hapa nakaanga chipsi yai ya mchepuko wa mbunge
Umepeleka vipande vya kuku ukamkucha mteja wako barazani kwake.

Mnasababisha mvua kuwa adimu🤪
 
Umepeleka vipande vya kuku ukamkucha mteja wako barazani kwake.

Mnasababisha mvua kuwa adimu[emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23] Alitaka kuku na utamu, sasa kwa nini umnyime
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Alitaka kuku na utamu, sasa kwa nini umnyime
Demi Umeziona akili hizi?🤣🤣🤣

Umeme utaendelea kuwa wa kisoda, maji tutaendelea kuyaita mma, na mvua za kisado mpaka maovu yakimbie🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo hamuamini kuna sehemu hawa jamaa walikunywa haya maji hapo ni morogoro au niwatajie majina mmoja baada ya mwingine nikianzia Huyo tolu...
1446634139814.jpg
 
Back
Top Bottom