Hakuna kitu nimeelewa hapo😅Taarifa zinazotolewa na media zinaweza kuhakikiwa na mfumo huu ili kuzipa uthibitisho au la.
Kwa mfano, Demi kananiliu kihasara na Msanii, aunthentication yake unaipata kupitia Jamii-Facts-Check kwa kubalance majibu ama uthibitisho wa pande husika....
Lakini bado nina hangober ya bia za promosheni ngoja aje le grand mopao Maxence Melo kuwrka maelezo yabkina
Kwa kweli subu sijapata mwali.Hakuna kitu nimeelewa hapo😅
Umepata supu kweli?
Ukute hata maji hujajimwagia. Na maji hakuna. Hangover itaishajeKwa kweli subu sijapata mwali.
Huu umeme wa kupima na mvua za mgao imenibidi nilale tu ndani🙃
Hivi unajua kabisa kina Zero IQ wanaishi Dar. Unatarajia mgao utaisha kweli?Ukute hata maji hujajimwagia. Na maji hakuna. Hangover itaishaje
[emoji23][emoji23] Kaa we jamaa muongo nipa hapa nakaanga chipsi yai ya mchepuko wa mbungeKakatiza Buguruni muda mfupi ulopita.[emoji2957]
Umepeleka vipande vya kuku ukamkucha mteja wako barazani kwake.[emoji23][emoji23] Kaa we jamaa muongo nipa hapa nakaanga chipsi yai ya mchepuko wa mbunge
[emoji23][emoji23][emoji23] Alitaka kuku na utamu, sasa kwa nini umnyimeUmepeleka vipande vya kuku ukamkucha mteja wako barazani kwake.
Mnasababisha mvua kuwa adimu[emoji2957]