Haya mabando yamepanda lini?tena walichinja vifurushi kimya kimya na sisi tukakosa pa kuanzia ...
matamko mazuri mashaAllah ila utekelezahi sasa ?
yule wa vifaa vya ujenzi na vinywaji sioni kinachofanyika maana hata leo nimenunua nondo sh.elfu 27 na wakati walipewa siku tatu ...
Maigizo tupu hata Ndugulile aliagiza lakini matokeo yake yakawa tofauti kabisaWaziri wa Habari na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nnauye ameiagiza TCRA kuyaagiza makampuni ya simu kusitisha upandishaji wa bei ya Vifurushi mpaka hapo watakapokaa na Serikali kuzungumza kuhusu jambo hilo.
Chanzo: DarMpya
Pia soma
- Gharama za vifurushi vya intaneti zapandishwa tena kimya kimya. Je, ni censorship ya aina yake?
View attachment 2090532
Waziri wa Habari na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye
Ununua uone kila siku yanapanda balaaHaya mabando yamepanda lini?
Sasahivi kuna matamko tupu lakini utekelezaji ni zero kabisatena walichinja vifurushi kimya kimya na sisi tukakosa pa kuanzia ...
matamko mazuri mashaAllah ila utekelezahi sasa ?
yule wa vifaa vya ujenzi na vinywaji sioni kinachofanyika maana hata leo nimenunua nondo sh.elfu 27 na wakati walipewa siku tatu ...
Siasa tu hiyo, hakuna kitu. Wamiliki ni wakubwa hao hao. Nani asiye jua hela ya serikali ilivyo pindishwa toka ttcl kuanzishwa AIRTEL? Mkopo toka world bank ulivyo pindishwa kuingia mikono binafsi na kuanzishwa halotel? Anatafuta mgao wake.Ni marudio tu, makampuni ni mali yao wao wanaohoji.
Yeye amezungumzia serikali , ina maana serikali nzima inaundwa na nape tu?kama wana huruma hiyo hao mawaziri wa wizara nyingine, wako wapi?juzi waziri anataka maelezo eti kwanini soda zimepanda bei?!!Hawezi kuingilia huko. Yeye anacheza na vitu viko chini ya wizara take.
wewe unaishi Nchi gani ?Haya mabando yamepanda lini?
Hiki ni kifurushi gani maana kwangu hata 10,000 napata GB 4.9 tuHayo mambo ya vitabuni, kwa sasa karibu makampuni yote bei zinafanana na zimepandishwa na serikali wala si makampuni.
Nilikuwa nanunua gb. 7 halotel kwa 5000 tu sasa hivi kwa 10000 ndio napata hizo gb 7, Ni wizi wa mchana.
Mwaka jana hiyo mzee.Hiki ni kifurushi gani maana kwangu hata 10,000 napata GB 4.9 tu
The need,Isidingo...