Waziri Nape Nnauye aonya wanaohamasisha ushoga kupitia WhatsApp

Waziri Nape Nnauye aonya wanaohamasisha ushoga kupitia WhatsApp

Kuna ongezeko kubwa Sana la madogo wanaoliwa kisamvu vyuoni. Movie za mambele na TikTok zimeharibu vijana.
 
Na hautaki wajisahihishe.?

Wewe ni miongoni mwa wale mashoga?
Mkuu tuwe tunaheshimiana hata Kama tuna tumia id fake mimi nimetoa msimamo wa serikali kuhusu jambo hilo,Kama tungekuwa na nia ya dhati katika jambo hilo serikali usingekuwa na msimamo wa hivyo ni dhahiri kwamba unatumia mihemko kuliko fact.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi, ila wabongo wengi ni watu wanaopenda kujikita kwenye mambo yasiyo na faida kwao wakiacha yale ya msingi.
Mimi naona hio sio issue ya msingi ya kutusahaulisha mfumuko wa bei ya kila kitu maana mtu kama anaamua kutoa mk..ndu wake sasa mimi naathirika na nini?
 
Nape anafuata nyayo za Makonda? Atawekewa zuio la kuingia 🇺🇸 huyu
 
Back
Top Bottom