Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Poa mkuuGB Moja Wala hata haifiki. Ni kati ya MB 600 hadi 700 hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuuGB Moja Wala hata haifiki. Ni kati ya MB 600 hadi 700 hivi
This is among my favorite app in my phone.Kama shida yako mpira download hio app hapo kila mechi utacheki
Epl,uefa kila wiki
Cha kufanya tafuta dongle u-connect simu na Tv.
Kikubwa uwe bando na internet ya uhakikaView attachment 2124185
Kuwa na decoder ni sawa, no problemHiyo pay per view unayoitaka ni lazima uwe na decorder.
Watakuunganishia wapi hiyo mechi unayoichagua?
Magahrama yote ya nn..ingia gharama mara 1 tu then ule maisha...niliweka post ya namna ya kufanya...ingia uichekKwa makadirio ni GB ngapi mpaka kumaliza match moja ya dakika 90?
Mimi Huwa natumia mb 400 Hadi 600 Kwa mechi mojaKwa makadirio ni GB ngapi mpaka kumaliza match moja ya dakika 90?
Kichwa cha habari kinajieleza, nchi nyingine wanaruhusu kulipia kwa match ama kuchagua movie unayotaka unalipia, ama pay per View, why not do the same ?
Nawasilisha
-----‐--------
Hawa DSTV tatizo lao wanataka faida kubwa kwa haraka, wenzao AZAM TV japokuwa hawaweki pesa kubwa lakini wana wateja wengi zaidi, na is just a matter of time , DSTV wasipobadilisha business model yao wataondolewa sokoni na aidha AZAM TV or another rival who is more consumer oriented. Kilichowafanya Google kuwa giant na ku survive a test of time, ni model yao ya 'long tail ', yaani kutobagua wateja wadogo wadogo, na hiyo model ndio wanaitumia AZAM TV, sasa AZAM TV wakijiongeza kidogo tu, wakaja na model hii ninayopendekeza watawatoa rivals sokoni.
Tunataka kumiliki what we cannot affordWabongo kwa malalamiko tunaongoza
How unaweza subscribe namna hii ?Option iwe lipa
10,000/= kwa mwezi uchague 20 including 12 local channels
20,000/= kwa mwezi uchague channels 30 including 12local channels
30,000/= kwa mwezi uchague channels 40 including 12local channels
40,000/= kwa mwezi uchague channels 50 including 12local channels
50,000/= kwa mwezi uchague channels 60 including 12local channels
60,000/= kwa mwezi uchague channels 80 including unlimited local channels
120,000/= full HD & 4k channels yaan channel zote walizonazo dstv zinakuwa yaan unaona had kipele
Nitag mkuuMagahrama yote ya nn..ingia gharama mara 1 tu then ule maisha...niliweka post ya namna ya kufanya...ingia uichek
Hiyo hawawezi kuikubali kamwe!!hao azam tv walikuwa nayo ya kulipia kwa wiki tsh.9000,kwa kifurushi cha mipira lakini siku hizi hakipo!!!kwani wanajua hiyo mipira ndio inawafanya watu kulipia.Kama itawalipa wataweka........