Waziri Ndaki na Katibu (Mifugo) Nzunda, Uhalisia kuhusu kuomba kusitisha mafunzo atimizi (internship) kwa Madaktari wa Mifugo

 
Mnajimalize wenyewe! Pambaneni. Tatizo wanataka kujilinganisha MD na vet doctor. Mnyama akizidiwa Dr wa Mifugo anasema chinja usipate hasara, lakini MD hawezi kusema hivyo. Pambaneni. Declare interest ni mtalaamu wa lishe ya mifugo
kwani nini tofauti yake si wote ni madaktari?shida yenu mnataka kuona fani fulani ni bora kuliko nyingine wakati fani zote zinategemeana.achaneni na hulka hizo za kitoto hakuna fani bora kuliko nyingine kama ndivyo mbona wote wako mtaani?
 
Shida ipo kwa viongozi wetu hao hao.

Wameshindwa kutusaidia kabisa.
 
Kweli maana huyu Dr Tixon Nzunda ndio alitujibu, na amecomfirm twende intern bila hela ya kujikimu na ndie katibu wa Wizara husika.

Sijui hanadhani tutaishije intern mwaka mzima bila hela kujikimu.
 
Tumeshafanya haya yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…