Tumbusi
Member
- Jun 19, 2022
- 73
- 159
Watatuaje matatizo wenyewe?
Vet surgeon alisema yote hayo wameshafanya ila wizara husika na viongozi wa TVSA ndio
Vet Surgeon, wizarani mlipeleka malalamiko yenu kwa nani? Kwa Waziri, Katibu mkuu au Mkurugenzi?Watatuaje matatizo wenyewe?
Vet surgeon alisema yote hayo wameshafanya ila wizara husika na viongozi wa TVSA ndio tatizo