Waziri Ndalichako nakupongeza kwa kazi nzuri ila dhibiti udanganyifu wa mitihani

Waziri Ndalichako nakupongeza kwa kazi nzuri ila dhibiti udanganyifu wa mitihani

Hichilema

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
1,608
Reaction score
1,687
Tangu awamu ya tano iingie madarakani kuna mabadiliko mengi katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu. Binafsi kama mtanzania mzalendo nahuzunishwa na tabia za baadhi ya taasisi za elimu kufanya udanganyifu wa mitihani.

Mhitimu wa darasa la saba anafaulu vipi kwa daraja B na C wakati hajui kusoma na kuandika? Imefikia muda wanafunzi wa darasa la nne baadhi ya shule wanaandikiwa dictation ubaoni na wasimamizi.

Mheshimiwa Waziri ni dhahiri kuwa mchezo huu mchafu unafanyika kutoka wilayani maelekezo hutolewa kwa wasimamizi.
Tabia hii italigharimu taifa mbeleni
 
Back
Top Bottom