Mzazi ashindwe kumpeleka mtoto wake shule za maana kama FEZA,CANOSA etc aje asumbue watu jukwaani hapa.Kabla ya kumuhukumu Ndalichako hebu tudadavue kidogo ulichokiandika...
Matatizo;
1. Darasa lina wanafunzi 636
2. Shule ina waalimu 2 wa hisabati
3. Mwaka huu kutakuwa na ongezeko la wanafunzi wengine mia 6
Suluhusho;
1. Darasa liwe na wanafunzi wachache/ Madarasa yaongezwe
2. Shule iwe na waalimu zaidi wa hisabati/ Ajira ya waalimu
3. Waalimu/madarasa yaongezwe kukabiliana na ongezeko la wanafunzi
Swali:
1. Katika hayo yote hapo juu, ni lipi Dr. Ndalichako analifahamu, yaani limefikishwa kwake?
2. Je, sera ya elimu ya CCM ikoje, ili kama utatibu huo ugonjwa hapo uwe kwa shule zote?
3. Je, hili ni la waziri pekee na sio wadau wengine wa elimu kuanzia maafisa elimu n.k?
4. Je, Tamisemi hawahusiki pia?
.......majitu kama hayo kutwa kupigia debe serikali ya CCM....