Waziri Ndugulile tunaomba utusaidie kuhusu PAYPAL

PAYPAL itasaidia vijana tujiajiri kupitia simu na laptop zetu.
Tunakuomba sana Mheshimiwa ujifunze kutoka kwa wenzetu Kenya.
 
Hii nchi ya ajabu ajabu tuu ma mtu yameishia la saba , they know nothing about real world , wanafkr kijiwe jiwe tuuu , fikra za WW2, huyo ndugurire amesoma lakini fikra za kijenkitile , huyo Wazir wa Fedha sjui hata anafanya nn , PayPal ninmfumo dhabiti wenye manufaa Kwa nchi zinazojielewa , anyway hope atasikia
 
Wajifunze kwa majirani zetu hapo Kenya. Tena hela zitapitia kwenye simu kama Mpesa na Tigopesa hivyo na wao watapata TOZO yao.
 
mzee wa tozo yuko bize anakwambia wanajiandaa kuleta tozo kwenye mitandao ya kijamii wakati vitu vya muhimu kama hivi ambavyo kimsingi vingeweza kuliingizia taifa hela nyingi sana kutoka mitandaoni wala hawalitilii maanani .wako bizy kunyonya watu kutoka kwenye hela ambazo sio za biashara . shame

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi maiti zinazotembea ni nyingi sana hebu angalia jinsi wanavyotusumbua kupata passport
 
Hivi unaweza kupokea pesa PayPal kwa ajili ya kununua vitu online kutoka kwa mtu mwingine ndani ya Tanzania?
B.O.T na Wizara ya Mawasiliano wakiruhusu itawezekana.

Kilichopo sasa hivi wewe unaweza kulipa tu ila kulipwa hela huwezi.

Tunachoomba serikali iruhusu mtu mwenye akaunti ya PAYPAL aweze kulipa na kulipwa kutoka maeneo mbalimbali duniani.
 
Kweli mkuu
 
Hivi unaweza kupokea pesa PayPal kwa ajili ya kununua vitu online kutoka kwa mtu mwingine ndani ya Tanzania?
Mkuu tunaongelea forex kupokea hizi biashara za ndani Mpesa, Tigopesa, Airtel nk unapokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…