TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Hili swala tumelipigia kelele humu tangu kabla nchi haijapata UHURU mpaka leo naona hakuna anaejali.B.O.T na Wizara ya Mawasiliano wakiruhusu itawezekana.
Kilichopo sasa hivi wewe unaweza kulipa tu ila kulipwa hela huwezi.
Tunachoomba serikali iruhusu mtu mwenye akaunti ya PAYPAL aweze kulipa na kulipwa kutoka maeneo mbalimbali duniani.