The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Waziri wa katiba na sheria Damas Ndumbaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuisaidia timu ya Simba kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika huku akiwaombea ruhusa kwa naibu spika wabunge kadha kwenda nchini Morocco kuishangilia timu hiyo itakapocheza mchezo wake wa kwanza dhidi ya RS Berkane.
Waziri Ndumbaro ameyasema hayo akiwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha 2025/2026 katika mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaoendelea leo Aprili 30, 2025 bungeni Jijini Dodoma.
Pia soma: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025