Waziri Ndumbaro: Dkt. Kigwangalla hakufuata sheria alipofuta umiliki wa kitatu cha Lake Natron, naagiza warudishiwe Green Miles safaris

Waziri Ndumbaro: Dkt. Kigwangalla hakufuata sheria alipofuta umiliki wa kitatu cha Lake Natron, naagiza warudishiwe Green Miles safaris

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amesema mtangulizi wake katika wizara hiyo Dkt. Kigwangalla hakufuata sheria wakati anafuta umiliki wa kitalu cha Lake Natron.

Dkt. Ndumbaro ameigiza umiliki huo urejeshwe kwa kampuni ya Green Miles Safaris Ltd hadi mwaka 2022.

Chanzo: Bungeni.

Kazi Iendelee!
 
Andika tujue nini kiliendelea hapa mpaka kikasababisha hawa kunyanganywa kitalu. La sivyo wengine tutahisi mafisadi wanarudishiwa waendelee kufisidi
Mkuu mada za huyu jamaa huwa unafuatilia na kujua anavyoandika?

Yaani dodoso zake ni kama milard anavyoandika.
 
Watu wanatupa Jongoo na Mti wake.......
Wote tunafahamu kuwa utawala wa awamu ya 5:

Uliharibu uchumi
Ulisigina katiba na sheria
Uligandamiza demokrasia
Uligandamiza haki za kiraia
Uliendekeza upendeleo na chuki
Ulipalilia uonevu

Hivyo siyo ajabu kuona mambo mengi yakibadilishwa. Lengo ni kujaribu kuondoa maovu yote, kujenga uchumi halisia na siyo wa propaganda.

Tarajieni kuona marekebisho mengi.
 
Back
Top Bottom