johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Una mradi mgumu sana,kila ukichangia wewe hayati magufuli tu,una tatizo gn kwenye kichwa chako?,au dishi limecheza?Asimlaumu kigwangala ni mambo ya Mtawala aliyeondoka
Mkuu mada za huyu jamaa huwa unafuatilia na kujua anavyoandika?Andika tujue nini kiliendelea hapa mpaka kikasababisha hawa kunyanganywa kitalu. La sivyo wengine tutahisi mafisadi wanarudishiwa waendelee kufisidi
una chuki za kipumbavu, wacha warudi kweni nchi ya baba ako hii, kama hupendi hama nchi paka weweHuo ni mwanzo tu. Tarajia majangili wengine wengi kurejea kwenye game! Kazi iendelee. Timu msoga on the beat.
Huo ni mwanzo tu. Tarajia majangili wengine wengi kurejea kwenye game! Kazi iendelee. Timu msoga on the beat.
Wapo wananchi wengi mno walioumizwa na huyo Magufuli wenu. Basi tu.Una mradi mgumu sana,kila ukichangia wewe hayati magufuli tu,una tatizo gn kwenye kichwa chako?,au dishi limecheza?
kwaiyo hii mliona ni ya Magufuli na ukoo wake?Huo ni mwanzo tu. Tarajia majangili wengine wengi kurejea kwenye game! Kazi iendelee. Timu msoga on the beat.
Wote tunafahamu kuwa utawala wa awamu ya 5:Watu wanatupa Jongoo na Mti wake.......
Una mradi mgumu sana,kila ukichangia wewe hayati magufuli tu,una tatizo gn kwenye kichwa chako?,au dishi limecheza?
Jangili namba moja wa roho za watu alikuwa mwendazakeHuo ni mwanzo tu. Tarajia majangili wengine wengi kurejea kwenye game! Kazi iendelee. Timu msoga on the beat.
Mkuu hawa watu hadi wakigongewa wake zao nasikia wanapiga kimya tu wanasema sababu ya mwenda zakeUna mradi mgumu sana,kila ukichangia wewe hayati magufuli tu,una tatizo gn kwenye kichwa chako?,au dishi limecheza?