Waziri Ndumbaro: Dkt. Kigwangalla hakufuata sheria alipofuta umiliki wa kitatu cha Lake Natron, naagiza warudishiwe Green Miles safaris

Kuna watu wanashabikia huu upumbavu unaorejeshwa kwa kasi kwa sababu tu ya chuki zao kwa hayati Magufuli. No wonder wazungu hutubagua na kutuita nyani. Maana hata nyani wenyewe hawawezi kufurahia huu wendawazimu.
Nimejikuta napandisha Mori kwenye Keybod, hawa Majangili wamerudishwa kweli??? Tanzania hatuna chetu, Tena kwenye hii Miaka 4. Mungu epushia mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…