Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Hivi auntiez ana miaka mingapi bibie?
daaaaaaaaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaaaaaaaah
We jamaa banaa ha hayaonyesha .ni mjasilia mwili.....!
Ni jana tu huko Sweden wazir kajiuzuru kwa ku over speed huku kwetu mmmmhhhHuwa wanakesha baa/club alafu wanaamkia mjengoni
namkumbuka Mw.Nyerere akisema 'pale Uingereza waziri mmoja mdogo alionekana akipitapita mtaani na mama mmoja mpaka watu wakaanza minongono he ho ho,waziri yule akaamua kumuandikia waziri mkuu kuomba kujiuzulu lakini kwa jinsi alivyochukia wala hata hakumjibu,'kama ni uhuni nenda kafanye huko barabarani,duniani kote serikali zinaongozwa kwa miiko'R.I.P Mwl.Nyerere
Usikurupuke basi..angalia hata tarehe unapochangia Uzi.Yule dansa hana chake?
Nini Tena jamaa.....??We jamaa banaa ha ha