Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Sasa hivi utawasikia wanakuja na tamko baada ya hilo swala kujadiliwa bungeni.Hivi walimu hicho chama chenu faida yake ni nini??
Watu wamepinga sana hayo maamuzi,sio mtandaoni hadi uraiyani na hadi huko bungeni hakuna alo support huo uamuzi.
Chaajabu ni kuwa hicho chama hata hakijaongea lolote wakati wao ndo wangepaswa kuwa wa kwanza
Itakuwa vizuri na kichwa chake km ndege wanaokula mpungaHafikishi Christmas anaondolewa
Waziri yupo sahihi acheni ujinga wa kuchukulia kila kitu siasa. Hiv unaiona wapi jamii ya kitanzania miaka 20 ijayo kama hawa watoto wataruhusiwa kukata viuno wakiwa la kwanza.Waziri Nkenda ajitathimini kama anapaswa kuendelea kuwa waziri wa Elimu au lah kwa maamuzi yake ya kukurupuka.
Kwa kilichonadiliwa Bungeni na Hoja zilizotolewa tunapofanya maamuzi tusifanye kwa kukurupuka Kuna taratibu za kufata ona sasa unapata Aibu za bure, utamfukuza mtu vipi bila kumpa nafasi ya kujitetea?
Kama tukio lilifanyika week kadhaa zilizopita basi na wabunge wote na wakuu wote wa idara waliowahi kufanya sherehe au kuhudhuria sherehe katika mashule nao wakacheza nyimbo hizo na wanafunzi basi NAO wachukuliwe hatua. Kwanini iwe walimu.
Nashangaa chama cha walimu kimekaa kimya hakijajitokeza kutetea walimu ila Hadi watu wa mitandaoni na wabunge walipoamua kuhoji.
Wakati wa Prof Ndalichako mambo haya hayakuepo kabisa
Mamlaka ya nidhamu ya mwalimu ni TSC, we vepe? Unamtetea mjombaako huyo?Ulikuwa na uwezo wa kuwasilisha mawazo yako bila kutumia lugha za maudhi mkuu, nakusamehe tu kwakuwa nafahamu vijana wengi humu mitandaoni mna matatizo ya kimalezi.
Baada ya lugha zako chafu, unaweza kuniletea hapa sheria au kanuni yoyote inayosema Waziri akiisha kusema, Mkurugenzi ambaye ndiye mwenye mamlaka juu ya nidhamu za walimu anapaswa kutekeleza tu kama kasuku?
Faida ya CWT ni kusapoti ajenda za chama tawalaHivi walimu hicho chama chenu faida yake ni nini??
Watu wamepinga sana hayo maamuzi,sio mtandaoni hadi uraiyani na hadi huko bungeni hakuna alo support huo uamuzi.
Chaajabu ni kuwa hicho chama hata hakijaongea lolote wakati wao ndo wangepaswa kuwa wa kwanza
Wabunge wachukuliwe hatua kama waliimbia bungeni, hao walimu walichukuliwa hatua kwakuwa yalifanyika shuleni, kosa la mkenda ni kutowasikiliza watuhumiwaWaziri Nkenda ajitathimini kama anapaswa kuendelea kuwa waziri wa Elimu au lah kwa maamuzi yake ya kukurupuka.
Kwa kilichonadiliwa Bungeni na Hoja zilizotolewa tunapofanya maamuzi tusifanye kwa kukurupuka Kuna taratibu za kufata ona sasa unapata Aibu za bure, utamfukuza mtu vipi bila kumpa nafasi ya kujitetea?
Kama tukio lilifanyika week kadhaa zilizopita basi na wabunge wote na wakuu wote wa idara waliowahi kufanya sherehe au kuhudhuria sherehe katika mashule nao wakacheza nyimbo hizo na wanafunzi basi NAO wachukuliwe hatua. Kwanini iwe walimu.
Nashangaa chama cha walimu kimekaa kimya hakijajitokeza kutetea walimu ila Hadi watu wa mitandaoni na wabunge walipoamua kuhoji.
Wakati wa Prof Ndalichako mambo haya hayakuepo kabisa
Watoto wamekata viuno wapi wakati walikua wanaruka rural tuu mkuuWaziri yupo sahihi acheni ujinga wa kuchukulia kila kitu siasa. Hiv unaiona wapi jamii ya kitanzania miaka 20 ijayo kama hawa watoto wataruhusiwa kukata viuno wakiwa la kwanza.
Bro watoto wanajifunza kwa kuimba zaid mkuu. Hiyo nyimbo haifai kwa watoto. Hii mambo ya kupuuzia vitu vidogo vidogo ndio tunazlisha ushoga hukoWatoto wamekata viuno wapi wakati walikua wanaruka rural tuu mkuu
Prof Mkenda popote ulipo jua kuwa tupo wananchi tunaokuunga mkono kwa misimamo yako kuhusu usimamizi wa elimu katika nchi yetu. Umeonyeshq msimamo kwa.manufaa ya jamii tangu ulipoingia wizara ya elimu kama waziri.
Sisi wazazi na walezi tuna kushukuru sana kwa maelekezo yako kuhusu masuala mbalimbali kuhusu elimu.
Hili suala la kuwashusha vyeo walimu wakuu umetenda vyema. Shule sio mahali pa kueneza tabia zisizokubalika kwa watoto wadogo wa shule za msingi. KONGOLE PROF MKENDA.
Hii nchi haipendi watu makini, ni tatizo. Mkenda ni mtu makini sana na hiyo wizara imemfaa. Katika wizara ambazo rais hakukosea ni hapo elimu na Kilimo.
Haiwezi siasa anadandia train Kwa mbele kama mkuu WA mkoa WA darMchumi mbobezi huyo ana PhD toka University of Gothenburg, Sweden
Hii Wizara siku hizi ma-deal mengi mno. Watu tumeshaongea sana humu mwishowe tukaamua kukaa kimya. Ya nini mwishowe mtu uje ukamatwe kwa tuhuma za kuwachafiua viongozi?Waziri Nkenda ajitathimini kama anapaswa kuendelea kuwa waziri wa Elimu au lah kwa maamuzi yake ya kukurupuka.