Waziri Nkenda ajitathimini kama anapaswa kuendelea kuwa waziri wa Elimu au la kwa maamuzi yake ya kukurupuka

Kinachowasumbua watu ni vimelea vya ukabila tuu ,waziri yupo sahihi
 
Hivi walimu hicho chama chenu faida yake ni nini??

Watu wamepinga sana hayo maamuzi,sio mtandaoni hadi uraiyani na hadi huko bungeni hakuna alo support huo uamuzi.

Chaajabu ni kuwa hicho chama hata hakijaongea lolote wakati wao ndo wangepaswa kuwa wa kwanza
Sasa hivi utawasikia wanakuja na tamko baada ya hilo swala kujadiliwa bungeni.

Hicho chama ni center ya upigaji tu.
 
Kwa kizazi hiki cha ngono ukiwa mtu, wakusimamia mambo ya msingi yahusuyo maadili basi tarajia kuchukiwa,kuonekana,mshamba, umepitwa na wakati,na kila aina ya maneno .kwani hao waalimu wamefukuzwa kazi? Jibu hapana ila imeonesha kwa nchi nzima kama somo kwa wakuu wa shule zote nchini kwamba kile cheo cha ukuu sio sifa per se ,bali ni kusimamia taaluma na maswala yote yanayohusu maadili ya kitanzania na kiafrika.Mmomonyoko wa maadili kama ushoga,usagaji,ngono za utotoni,and alike shule zina play part either kuongeza au kupunguza .
 
C.W.T
Kikoba HICHO mkuu,na sio kutetea maslahi ya waalimu Wala Nini.
Kazi kubwa ni kuhakikisha kila mwalimu amekatwa ile % x.
Mda mwingine hayo ndo yanayotakiwa kuyapata.
Usomi Nchi hii hakuna,wasomi wetu wanalinda Sana vibarua,kwa maana akifukuzwa Hana uwezo WA kuendesha maisha Tena.
Ni vilema wa fikra mkuu.
Anawaza mshahala na kupata mkopo ambao utakatwa juu kwaju
 
Waziri Nkenda ajitathimini kama anapaswa kuendelea kuwa waziri wa Elimu au lah kwa maamuzi yake ya kukurupuka.

Kwa kilichonadiliwa Bungeni na Hoja zilizotolewa tunapofanya maamuzi tusifanye kwa kukurupuka Kuna taratibu za kufata ona sasa unapata Aibu za bure, utamfukuza mtu vipi bila kumpa nafasi ya kujitetea?

Kama tukio lilifanyika week kadhaa zilizopita basi na wabunge wote na wakuu wote wa idara waliowahi kufanya sherehe au kuhudhuria sherehe katika mashule nao wakacheza nyimbo hizo na wanafunzi basi NAO wachukuliwe hatua. Kwanini iwe walimu.

Nashangaa chama cha walimu kimekaa kimya hakijajitokeza kutetea walimu ila Hadi watu wa mitandaoni na wabunge walipoamua kuhoji.

Wakati wa Prof Ndalichako mambo haya hayakuepo kabisa
Waziri yupo sahihi acheni ujinga wa kuchukulia kila kitu siasa. Hiv unaiona wapi jamii ya kitanzania miaka 20 ijayo kama hawa watoto wataruhusiwa kukata viuno wakiwa la kwanza.
 
Ulikuwa na uwezo wa kuwasilisha mawazo yako bila kutumia lugha za maudhi mkuu, nakusamehe tu kwakuwa nafahamu vijana wengi humu mitandaoni mna matatizo ya kimalezi.

Baada ya lugha zako chafu, unaweza kuniletea hapa sheria au kanuni yoyote inayosema Waziri akiisha kusema, Mkurugenzi ambaye ndiye mwenye mamlaka juu ya nidhamu za walimu anapaswa kutekeleza tu kama kasuku?
Mamlaka ya nidhamu ya mwalimu ni TSC, we vepe? Unamtetea mjombaako huyo?
 
Hivi walimu hicho chama chenu faida yake ni nini??

Watu wamepinga sana hayo maamuzi,sio mtandaoni hadi uraiyani na hadi huko bungeni hakuna alo support huo uamuzi.

Chaajabu ni kuwa hicho chama hata hakijaongea lolote wakati wao ndo wangepaswa kuwa wa kwanza
Faida ya CWT ni kusapoti ajenda za chama tawala
 
Waziri Nkenda ajitathimini kama anapaswa kuendelea kuwa waziri wa Elimu au lah kwa maamuzi yake ya kukurupuka.

Kwa kilichonadiliwa Bungeni na Hoja zilizotolewa tunapofanya maamuzi tusifanye kwa kukurupuka Kuna taratibu za kufata ona sasa unapata Aibu za bure, utamfukuza mtu vipi bila kumpa nafasi ya kujitetea?

Kama tukio lilifanyika week kadhaa zilizopita basi na wabunge wote na wakuu wote wa idara waliowahi kufanya sherehe au kuhudhuria sherehe katika mashule nao wakacheza nyimbo hizo na wanafunzi basi NAO wachukuliwe hatua. Kwanini iwe walimu.

Nashangaa chama cha walimu kimekaa kimya hakijajitokeza kutetea walimu ila Hadi watu wa mitandaoni na wabunge walipoamua kuhoji.

Wakati wa Prof Ndalichako mambo haya hayakuepo kabisa
Wabunge wachukuliwe hatua kama waliimbia bungeni, hao walimu walichukuliwa hatua kwakuwa yalifanyika shuleni, kosa la mkenda ni kutowasikiliza watuhumiwa
 
Waziri yupo sahihi acheni ujinga wa kuchukulia kila kitu siasa. Hiv unaiona wapi jamii ya kitanzania miaka 20 ijayo kama hawa watoto wataruhusiwa kukata viuno wakiwa la kwanza.
Watoto wamekata viuno wapi wakati walikua wanaruka rural tuu mkuu
 
Bro watoto wanajifunza kwa kuimba zaid mkuu. Hiyo nyimbo haifai kwa watoto. Hii mambo ya kupuuzia vitu vidogo vidogo ndio tunazlisha ushoga huko
 
Prof Mkenda popote ulipo jua kuwa tupo wananchi tunaokuunga mkono kwa misimamo yako kuhusu usimamizi wa elimu katika nchi yetu. Umeonyeshq msimamo kwa.manufaa ya jamii tangu ulipoingia wizara ya elimu kama waziri.

Sisi wazazi na walezi tuna kushukuru sana kwa maelekezo yako kuhusu masuala mbalimbali kuhusu elimu.

Hili suala la kuwashusha vyeo walimu wakuu umetenda vyema. Shule sio mahali pa kueneza tabia zisizokubalika kwa watoto wadogo wa shule za msingi. KONGOLE PROF MKENDA.
 
Hii nchi haipendi watu makini, ni tatizo. Mkenda ni mtu makini sana na hiyo wizara imemfaa. Katika wizara ambazo rais hakukosea ni hapo elimu na Kilimo.
 
View: https://twitter.com/millardayo/status/1721931290880938265?t=WD7pwaFqMvJPygBBHYzKhA&s=19

Walimu wawili wakuu wa Shule za Msingi Mlimani na Tunduma TC zilizopo Halmashauri ya Mji Tunduma Mkoani Songwe ambao walivuliwa vyeo kutokana na video iliyosambaa mitandaoni ikionesha Wanafunzi wakicheza wimbo wa Msanii Zuchu wa Honey, wamerejeshwa kwenye nafasi zao.

Akiongea na @AyoTV_ kwa njia ya simu leo Jumanne November 07, 2023, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Tunduma, Philemon Magesa amethibitisha kuwa Walimu hao wamerejeshwa “Ni kweli taarifa hizo ni sahihi Walimu hao wamerejeshwa vyeo vyao"

Alipoulizwa sababu za kurejeshwa vyeo Walimu hao, Mkurugenzi huyo amesema “Walimu hao walivuliwa vyeo kutokana na maelekezo ya Waziri wa Elimu na wamerejeshwa kutokana na maelekezo wa Waziri wa Elimu"

Jana November 6, 2023 akiwa Bungeni, Spika wa Bunge laJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Tulia Ackson aliishauri Serikali kuwarejesha kazini Walimu hao.
#MillardAyoUPDATES
 
Waziri Nkenda ajitathimini kama anapaswa kuendelea kuwa waziri wa Elimu au lah kwa maamuzi yake ya kukurupuka.

Kwa kilichonadiliwa Bungeni na Hoja zilizotolewa tunapofanya maamuzi tusifanye kwa kukurupuka Kuna taratibu za kufata ona sasa unapata Aibu za bure, utamfukuza mtu vipi bila kumpa nafasi ya kujitetea?

Kama tukio lilifanyika week kadhaa zilizopita basi na wabunge wote na wakuu wote wa idara waliowahi kufanya sherehe au kuhudhuria sherehe katika mashule nao wakacheza nyimbo hizo na wanafunzi basi NAO wachukuliwe hatua. Kwanini iwe walimu.

Nashangaa chama cha walimu kimekaa kimya hakijajitokeza kutetea walimu ila Hadi watu wa mitandaoni na wabunge walipoamua kuhoji.

Wakati wa Prof Ndalichako mambo haya hayakuepo kabisa
Hii Wizara siku hizi ma-deal mengi mno. Watu tumeshaongea sana humu mwishowe tukaamua kukaa kimya. Ya nini mwishowe mtu uje ukamatwe kwa tuhuma za kuwachafiua viongozi?

Hilo tukio la wanafunzi kuchezeshwa mziki lililkuwa ni la kutengeneza sawa na matukio mengine ya nyuma yaliyowahi kutengenezwa, halikutokea kwa bahati mbaya

Tukio hili lilipangwa kabla, na matokea yake baada ya tukio kuwa limefanyika yalikuwa yamepangwa pia.

Mungu bariki amemtumia Mh. Spika kuliona vizuri
 
Back
Top Bottom