Waziri Ofisi ya Rais ‘Kazi Maalum’ ana majukumu gani?

Background Check

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2019
Posts
341
Reaction score
498
Ndugu,

Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa yoyote yule ambaye anaweza kuwa na uelewa ama kufahamu majukumu ya waziri wa Ofisi ya Rais kazi maalum.

Nafasi hiyo kwa sasa inashikiliwa na Cap. George Mkuchika.

Nimemaliza hivyo ili kufahamu, na kuongeza maarifa. Nimewahi kukutana nafasi katika runinga na majarida kadhaa ya hapa nyumbani Tanzania. [\Justify]

Wako katika ujenzi wa taifa.

Machepele Tanzania

Screenshot_20210820-125920.png
 
Kazi maalumu ni kuonja onja vyukula kabla rais hajala,

daah Jani bado bichi ndio maana😢😢😢
 
Ndugu,

Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa yoyote yule ambaye anaweza kuwa na uelewa ama kufahamu majukumu ya waziri wa Ofisi ya Rais kazi maalum.

Nafasi hiyo kwa sasa inashikiliwa na Cap. George Mkuchika.

Nimemaliza hivyo ili kufahamu, na kuongeza maarifa. Nimewahi kukutana nafasi katika runinga na majarida kadhaa ya hapa nyumbani Tanzania. [\Justify]

Wako katika ujenzi wa taifa.

Machepele Tanzania

View attachment 1899597
Ata Sabaya alienda Arusha kwa kazi maalum
 
Nilitamani kukutag uje huku Ila nikaona mida hii utakuwa unakausha ujani pale nyuma ya stand, maana abiria wengi wameshatembea[emoji15][emoji15][emoji15]
Kama ulijua vile ndo naamsha kitu hapo[emoji23]
 
Amakuwa mchezo kote kote na kumshauri rais na baraza lote la Mawaziri
 
Ndugu,

Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa yoyote yule ambaye anaweza kuwa na uelewa ama kufahamu majukumu ya waziri wa Ofisi ya Rais kazi maalum.

Nafasi hiyo kwa sasa inashikiliwa na Cap. George Mkuchika.

Nimemaliza hivyo ili kufahamu, na kuongeza maarifa. Nimewahi kukutana nafasi katika runinga na majarida kadhaa ya hapa nyumbani Tanzania. [\Justify]

Wako katika ujenzi wa taifa.

Machepele Tanzania

View attachment 1899597
Kazi maalum ni ya kuhesabu kila siku tozo zimeingia sh. ngapi
 
Ndugu,

Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa yoyote yule ambaye anaweza kuwa na uelewa ama kufahamu majukumu ya waziri wa Ofisi ya Rais kazi maalum.

Nafasi hiyo kwa sasa inashikiliwa na Cap. George Mkuchika.

Nimemaliza hivyo ili kufahamu, na kuongeza maarifa. Nimewahi kukutana nafasi katika runinga na majarida kadhaa ya hapa nyumbani Tanzania. [\Justify]

Wako katika ujenzi wa taifa.

Machepele Tanzania

View attachment 1899597
Kufanyakazi zisizokuwa na wizara maalumu!
 
Back
Top Bottom