Background Check
JF-Expert Member
- Jun 28, 2019
- 341
- 498
Asante nduguKamuulize Samia aliyempa hiyo kazi, wengine watakuwa wanabuni tu!
Ata Sabaya alienda Arusha kwa kazi maalumNdugu,
Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa yoyote yule ambaye anaweza kuwa na uelewa ama kufahamu majukumu ya waziri wa Ofisi ya Rais kazi maalum.
Nafasi hiyo kwa sasa inashikiliwa na Cap. George Mkuchika.
Nimemaliza hivyo ili kufahamu, na kuongeza maarifa. Nimewahi kukutana nafasi katika runinga na majarida kadhaa ya hapa nyumbani Tanzania. [\Justify]
Wako katika ujenzi wa taifa.
Machepele Tanzania
View attachment 1899597
Nilitamani kukutag uje huku Ila nikaona mida hii utakuwa unakausha ujani pale nyuma ya stand, maana abiria wengi wameshatembea😳😳😳Wee ushaambiwa kazi maalum alafu unauliza tena
Kama ulijua vile ndo naamsha kitu hapo[emoji23]Nilitamani kukutag uje huku Ila nikaona mida hii utakuwa unakausha ujani pale nyuma ya stand, maana abiria wengi wameshatembea[emoji15][emoji15][emoji15]
Nilijua mkuu maana ndio mida hii yenyewe kabisaa😂😂😂😂Kama ulijua vile ndo naamsha kitu hapo[emoji23]
Kazi maalum ni ya kuhesabu kila siku tozo zimeingia sh. ngapiNdugu,
Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa yoyote yule ambaye anaweza kuwa na uelewa ama kufahamu majukumu ya waziri wa Ofisi ya Rais kazi maalum.
Nafasi hiyo kwa sasa inashikiliwa na Cap. George Mkuchika.
Nimemaliza hivyo ili kufahamu, na kuongeza maarifa. Nimewahi kukutana nafasi katika runinga na majarida kadhaa ya hapa nyumbani Tanzania. [\Justify]
Wako katika ujenzi wa taifa.
Machepele Tanzania
View attachment 1899597
Kufanyakazi zisizokuwa na wizara maalumu!Ndugu,
Rejea kichwa cha habari hapo juu, kwa yoyote yule ambaye anaweza kuwa na uelewa ama kufahamu majukumu ya waziri wa Ofisi ya Rais kazi maalum.
Nafasi hiyo kwa sasa inashikiliwa na Cap. George Mkuchika.
Nimemaliza hivyo ili kufahamu, na kuongeza maarifa. Nimewahi kukutana nafasi katika runinga na majarida kadhaa ya hapa nyumbani Tanzania. [\Justify]
Wako katika ujenzi wa taifa.
Machepele Tanzania
View attachment 1899597
Na kukaa kuwazia Uwaziri kama sehemu ya ajira nayo sio sawa!Wazee wanezikamata nafasi hawaachii, vijana endeleeni kujiajiri