Waziri Philip Augustino Mulugo: SIJUI LOLOTE KUHUSIANA NA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA INAYOENDELEA

Waziri Philip Augustino Mulugo: SIJUI LOLOTE KUHUSIANA NA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA INAYOENDELEA

Du kweli tunae waziri! Yaani hajui lolote kuhusu mitihani kidato cha sita kama imeanza au la? Yaelekea hajui kama huwa kuna mitihani ya aina hiyo! Eti waulize walio ofisini, jamani, yaani mambo ya nyumbani mwako aulizwe mpangaji au mgeni?

This is the highest level of incompetency!!! Alipewa vipi ofisi kubwa kama hiyo? Eti niko NEC what is NEC after all? NEK ndio inakufanya usijue walipa kodi wanataka nini? Jamani katiba mpya ituondolee hawa wabunge mawaziri. Kisha anae wateua kuwa mawaziri awe makini na hao anaowateua. Iko siku tutapopata waziri wa elimu asiyejua kusoma wala kuandika!!
 
Ikiwa kama rasimu ya Katiba mpya isiposema waziwazi au kufuta huu uovu, yaani kwa wateuliwa kuwa wanasiasa au kuweka siasa mbele. Mimi nitakuwa mtanzania wa kwanza kuipinga hadharani.
Tanzania ipo hapa kutokana na ombwe la uongozi.
 
Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, naibu waziri wa elimu katika serikali JK ametoa mpya ya kufungua mwaka baada ya kuulizwa juu ya maendeleo ya mitihani ya kidato cha sita iliyoanza leo. Alipoulizwa na kituo cha EATV kupitia kipindi cha HOTMIX, waziri huyo mwenye historia ya kutofahamu vyema historia ya nchi yake alitoa jibu kuwa....."Sina taarifa yoyote kuhusiana na kuanza kwa mitihani ya kidato cha sita, kwasasa nipo kwenye kikao cha NEC, labda waulizeni waliopo DSM ofisini. Alipoulizwa zaidi aliendelea kusema mimi sijui kuhsuiana na mitihani ya kidato cha sita. Huyu ndie waziri wa elimu ndugu Mulugo.

Source: Hotmix EATV

Ooop error 609 occured,
 
Tunaomba namba yake ya siku tumpashe! ili arudishe akili kwenye mambo muhimu
 
Halafu ni waziri wa elimu, Duh!!! ??. Hii inaweza kutokea Tanzania tu.

Usikute hajui kama kuna upungufu mkubwa wa walimu na wizara inahitaji kuajiri walimu wapya.JK toa mulugo hapo weka magufuli ajue idadi hadi ya walimu watoro
 
duh! kazi tunayo aisee...sijui anasubiri nn kujiudhuru maana anazidi kulidhihirishia taifa ukilaza alionao.
 
Halafu ni waziri wa elimu, Duh!!! ??. Hii inaweza kutokea Tanzania tu.

Usikute hajui kama kuna upungufu mkubwa wa walimu na wizara inahitaji kuajiri walimu wapya.JK toa mulugo hapo weka magufuli ajue idadi hadi ya walimu watoro
 
Naomba dissertation ya kawambwa iwekwe wazi watu tuone kama hakuna wizi wa kazi za watu. Nina shaka na phd yake
 
Kwa haya machache napata waswas kuwa inawezekana hajui kama kuna walimu wanaosubiri ajira na alisha ahidi, kwakuwa ni kilaza anahc tayari walisharipoti vi2oni
 
Kwa anayetaka namba hizi hapa!
hizo ndo namba zake mhe. Wa pemba zimbabwe 0784375922
AND
0754315922
PHILIPO MULUGO.

Naomba kuwasilisha!
 
Naanza kuamini yale maneno kuwa pale wizaran kuna mgogoro kati ya katibu na viongozi wa kisiasa.. Pengine mulugo saiv akienda ofisini ni kusoma magazeti
kwa mitindo hiyo sidhani kama hata anajua gazeti lina maana gani.
 
Back
Top Bottom