Kada Mzalendo
Senior Member
- Oct 9, 2024
- 142
- 97
WAZIRI Rajab Salum ameendelea kutekeleza kwa uaminifu maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kupambana na ufisadi na uhujumu uchumi, licha ya kuwepo kwa mashambulizi ya uzushi na propaganda zinazolenga kumchafua.
Wanaharakati wa mitandaoni kama Maria Sarungi, Hilda Newton na wengine, wamelipwa mamilioni na mafisadi ili kumshambulia kwa lengo la kudhoofisha juhudi zake za kutekeleza majukumu ya kumsaidia Mama kusimamia rasilimali za taifa na kuwalinda Watanzania dhidi ya hujuma za kifisadi.
Salum amesimama imara kwa uzalendo na weledi, huku akiendelea kuwanyima usingizi mafisadi kwa bidii.
Wananchi wanapaswa kuunga mkono watu kama Waziri Salum, ambao wanasimamia maslahi ya taifa kwa uadilifu, ili kuhakikisha juhudi zao zinafanikiwa na kulinda uchumi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo.
Ndimi Kada Mzalendo