Waziri Rajab Salum: Nguzo ya Uadilifu na Uzalendo Licha ya Fitina na Propaganda

WAZIRI Rajab Salum ameendelea kutekeleza kwa uaminifu maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kupambana na ufisadi na uhujumu uchumi, licha ya kuwepo kwa mashambulizi ya uzushi na propaganda zinazolenga kumchafua.

Wanaharakati wa mitandaoni kama Maria Sarungi, Hilda Newton na wengine, wamelipwa mamilioni na mafisadi ili kumshambulia kwa lengo la kudhoofisha juhudi zake za kutekeleza majukumu ya kumsaidia Mama kusimamia rasilimali za taifa na kuwalinda Watanzania dhidi ya hujuma za kifisadi.

Salum amesimama imara kwa uzalendo na weledi, huku akiendelea kuwanyima usingizi mafisadi kwa bidii.

Wananchi wanapaswa kuunga mkono watu kama Waziri Salum, ambao wanasimamia maslahi ya taifa kwa uadilifu, ili kuhakikisha juhudi zao zinafanikiwa na kulinda uchumi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo.

Ndimi Kada Mzalendo
Waziri Salim chapa kazi. Sindano inawaingia mafisadi na chawa wao. Dawa ni hiyo hiyo usibadili mpaka ukurutu wa ufisadi na chuki uwatoke
 
WAZIRI Rajab Salum ameendelea kutekeleza kwa uaminifu maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kupambana na ufisadi na uhujumu uchumi, licha ya kuwepo kwa mashambulizi ya uzushi na propaganda zinazolenga kumchafua.

Wanaharakati wa mitandaoni kama Maria Sarungi, Hilda Newton na wengine, wamelipwa mamilioni na mafisadi ili kumshambulia kwa lengo la kudhoofisha juhudi zake za kutekeleza majukumu ya kumsaidia Mama kusimamia rasilimali za taifa na kuwalinda Watanzania dhidi ya hujuma za kifisadi.

Salum amesimama imara kwa uzalendo na weledi, huku akiendelea kuwanyima usingizi mafisadi kwa bidii.

Wananchi wanapaswa kuunga mkono watu kama Waziri Salum, ambao wanasimamia maslahi ya taifa kwa uadilifu, ili kuhakikisha juhudi zao zinafanikiwa na kulinda uchumi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo.

Ndimi Kada Mzalendo
Kama anachafuliwa si aende mahakamani akashtaki
 
WAZIRI Rajab Salum ameendelea kutekeleza kwa uaminifu maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kupambana na ufisadi na uhujumu uchumi, licha ya kuwepo kwa mashambulizi ya uzushi na propaganda zinazolenga kumchafua.
Neno Waziri kwa huyu jamaa limetumika kama jina ama cheo ??
 
Back
Top Bottom