Riz na hao ATE wahakikishe na wanadhibiti uingiaji wa wafanyakazi wageni kiholela.
Wahakikishe wana mfumo wakuingiza wageni ambao kweli tunawahitaji na sio kuingiza tu watu hovyohovyo kutoka China, India, Pakistan, South Africa nk ilihali wapo mamilioni ya Watanzania wanaoweza kufanya hizo kazi.
Upatikanaji wa vibali vya kazi umekuwa rahisi sana maeneo mengi ilihali hizo kazi watanzania wengi wanaweza kuzifanya na kulipwa vizuri.
Tatizo la ajira ni kubwa tusipokuwa makini kulinda ajira za wazawa vijana wetu wengi watabaki mtaani hohehahe.
Shida ya watanzania wengi ni wezi wanachowaza ni kuiba tu wakiajiriwa viwanda vingi vya wahindi na wachina wameajiri wahasibu kutoka kwao sababu wanajua wabongo walivyo waharibifu sijui Nini kifanyikeRiz na hao ATE wahakikishe na wanadhibiti uingiaji wa wafanyakazi wageni kiholela.
Wahakikishe wana mfumo wakuingiza wageni ambao kweli tunawahitaji na sio kuingiza tu watu hovyohovyo kutoka China, India, Pakistan, South Africa nk ilihali wapo mamilioni ya Watanzania wanaoweza kufanya hizo kazi.
Upatikanaji wa vibali vya kazi umekuwa rahisi sana maeneo mengi ilihali hizo kazi watanzania wengi wanaweza kuzifanya na kulipwa vizuri.
Tatizo la ajira ni kubwa tusipokuwa makini kulinda ajira za wazawa vijana wetu wengi watabaki mtaani hohehahe.
Namfahamu vizuri sana piaMmmmh heri ninyamaze tu
Hajatupa ndoana hapo kweli?Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) alipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma, leo mchana, Ijumaa tarehe 16 Agosti 2024