TANZIA Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

TANZIA Waziri Salome Mbatia afariki dunia, maswali yaibuka!

Ilishawahi kuongelewa hapa JF huko nyuma
 
Alitengenezewa ajali! Ila mungu yupo!
Miaka 17 of her absence nchi imebadilika completely! Angefufuka leo angeshuhudia yafuatayo;
1. Kikwete sio rais tena
2. Magufuli alikuja kuwa rais ila kwa sasa hayupo.
3. Serikali imehamia Dodoma
4. SGR inafanya kazi;
6. Mzee Mwinyi, Sitta, Maalim Seif, na Lowasa hawapo.
7. Mbowe bado ni mwenyekiti wa Chadema taifa;
8. Nchi inaongozwa na rais mwanamke; spika ni mwanamke pia.
9. Kuna bwawa kubwa la kuzalisha umeme.
10. Dar ina mwendokasi.
11. etc.
 
12. Chura kiziwi Yuko magogoni,kafunika masikio
 
Alikuwa mke wa psychiatrist Joseph Mbatia Mkuu wa Mental Hospital Muhimbili wakati ule.
But why is this being brought up now?
 
Back
Top Bottom