Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

Ushauri ukitaka nyungu ipendwe
Sema
Inapunguza kitambi
Inaongeza nguvu za kiume
Inaleta mvuto
NA KAZALIKA


Jr[emoji769]
 
Nyungu ya kujifukiza wanatakiwa wapige wale wanaohisi hali fulani ambayo siyo, si kila mtu hata ambaye hajisikii hovyo...labda nyungu ya juice ya malimao na tangawizi unaweza kupiga tu kama kawaida....
 
Tanzania raha ,tunaongozwa na kiongozi mwenye akili na uwezo mkubwa sanaa..... thanks God

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Back
Top Bottom