Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

Hawa ndiyo wasomi tulio nao! Hakuna ushahidi wa kisayansi kuwa kujifukizia ni tiba ya Coronavirus bali kuna ushahidi wa kisayansi kuwa kujifukizia kunaua mapafu. Taifa ambalo haliwekezi katika tafiti, sayansi na technolojia ni Taifa mfu
Hili ni taifa la viongozi wachawi na wanga.
Shule walienda kwa bahati mbaya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20200430-WA0039.jpg

Wale wenzangu na mie tukutane hapa
 
Hawafanyi huo ujinga wenu,that's the same as suicidal act.How sure you're going to be cured from COVID-19 by steaming with unknown mixture of local herbs? Are you kidding?
Tuliza munkari dogo.. Leo wataliano wanasema ugonjwa huu sio Pneumonia bali ni dessiminated intravascular cougulation(thrombosis) baada ya autopsies ya maiti. Sijui ndio nini. Hivyo mengi bado hayajulikani. Kama watu wanajifukiza herbs wanazozijua wao na wanapona waache, wewe nani uwazuie na keyboard yako,.
 
Ningekuwa Dogo kama unavyopenda wewe ningeshukuru sana,I'm your Dad.
Kufukiza mnakoshupalia kumeponya watu wangapi?Je,hiyo tiba imethibitishwa na nani?Fanyeni utafiti kabla hamjawapotezea Watanzania focus ya mapambano.
 
WIKI YA NYUNGU NA UMUHIMU WAKE.

Leo 19:30pm 01/05/2020

1. Serikali imesema epuka mkusanyiko
2. Fanya social distancing
3. Vaa barakoa
4. Nawa mikono na maji tiririka na sabuni kila wakati
5. Tumia sanitizer
6. Epuka safari zisizo za lazima
7. Muombe MUNGU wako
8. Chapa kazi ili uishi, usife njaa
9.Jifukize.

Nimeangalia WHO wameainisha mambo nadhani sita ambayo nchi inatakiwa kuyatekeleza na inaweza kuondoa lockdown yakiwa yamekamilika ama kutoweka lockdown kabisa maana haisaidii kitu,rejea Marekani.

Mfano Nchi inatakiwa ifanye mambo matatu ya msingi,

1) Testing

2) Tracing

3) Isolation.

Naweza kusema haya mambo matatu kati ya yale sita ya WHO Tanzania imeshayatekeleza, kwa namna moja ama nyingine,tukisema kupima kila mtu italeta shida na pengine in the process tunaweza kuambukizana,

-Wiki ya kujifukiza,tuliyoibatiza Wiki ya nyungu.

Kujifukiza ni kitendo cha kuvuta mvuke wa joto ukiwa umefumba macho ambapo lile joto litaingia mwilini kupitia mdomoni na puani,

Mvuke huo hutoka kwenye maji ya moto au kifaa maalum cha kutoa mvuke.

Kama mtu ameshapata tatizo la kushindwa kupumua basi hapaswi kujifukiza bali atahitaji ventilator ili kumsaidia kupumua,

Kwa mfano, msanii Piere Liquid yeye ni positive tu wa coronavirus infection.

Lakini kwa hali yake, yeye hahitaji ventilators,yeye atahitaji kujifukiza na kutumia glass ya maji ya moto yenye limao na tangawizi na vitamin c,

Hii ni kwa sababu bado hajapata respiratory distress au failure.

Hivyo basi mtu kama Piere na wengine wengi wasio na dalili kabisa au kuwa nazo kiasi, wanaweza kufaidika kwa kujifukiza.

-Joto la Mvuke wakati wa kujifukiza linaua kirusi cha corona.

Coronavirus wanakufa kwa kuongeza temperature hata kidogo tu. Sio lazima iwe ni high temperature, hapana.

Hii ndio maana virus hufa bila ya kuunguza njia ya hewa wakati wa kujifukiza.

Kwa mfano, ukiangalia hiyo table ya Trump hapo chini: (*Table 1*).

Ongezeko la temperature from 70 to 95 degree Fahrenheit (i.e from 21 to 35 degrees Centigrade) limepunguza half-life ya virus from 6 hrs to 1 hour.

Hii inamaanisha kama kulikua na virus 500 wa corona, basi baada ya lisaa limoja la temperature hii ya 35 degrees centigrade, vitabakia virusi 250.

Yaani virusi nusu yake vimekufa kwa joto hilo.

Kwa ufupi, table hii inaonyesha kuwa ukiongeza joto la kadiri na unyevu (Humidity) kiasi, virusi vya corona vinakufa (sio lazima high temperature).

Ukiongeza joto la kadiri, unyevu kiasi na mwanga wa jua, basi hapo ndio utawamaliza virusi vingi vya corona kwa muda mfupi.

Hata hivyo, kuongeza majani mbali mbali wakati wa kujifukiza huongeza flavor na hamu ya kuendelea kujifukiza,

Pia baadhi ya majani yana mints (kama vicks au pipi kifua).

Mints husaidia kufungua njia ya hewa na mapafu.

Hii husaidia joto la mvuke na unyevu (Humidity) kuingia vizuri.

-Wakati gani kirusi cha corona kinakimbilia kwenye Mapafu?

Joto la mwili kawaida ni 36.6-36.7 degrees centigrade.

Kama kinga ya mwili ikizidiwa, baada ya siku kadhaa, virusi vya corona vinakimbilia kwenye vifuko vidogo vya hewa kwenye mapafu( Alveoli na broncho-tracheo tree, in general).

Temperature ya kwenye Alveoli na broncho-tracheo tree ipo chini kidogo ya temperature ya mwili. (Physiology yake ni ndefu kidogo).

Hivyo basi kujifukiza huongeza joto kiasi na unyevu wa kadiri kwenye mapafu (Alveoli na broncho-tracheo tree).

Hii ni kutokana na kuvuta mvuke wa joto kiasi kwa muda fulani.

Kuongezeka huku kwa joto kiasi, huwaua virusi vya corona. Ingawa sio vyote kwa mara moja.

Hii inasaidia muathirika wa corona kupata nafuu ya ugonjwa.

Kwakua atakua amepunguza 'viral load' (wingi wa virusi).

Coronavirus hafi mdomoni au kooni kwa sababu anapita pale kwa kuteleza kuelekea kooni.

Utaratibu wa Nyungu upo kwenye makabila mbalimbali, weka sufuria au chungu chako jikoni, washa jiko, maji yachemke, weka majani ya mti unayoyajua wewe yalete harufu nzuri,yasiwe mengi sana,jifunike na blanketi au shuka, kaa dakika tano au kumi ukivuta ule mvuke taratibu kwa kutumia pua na mdomo,toka jasho kweli kweli hapo utakuwa umekiua kirusi,

Watu watumie lishe ya kuchemsha maji yenye tangawizi,kitunguu swaumu,mchai chai,maji ya Moto karakana limao na maganda yake kunywa glass mbili kila siku na kuka matikiti,machungwa na matunda na mboga zenye vitamin c,mwisho fanya Mazoezi kuepusha damu kuganda baada ya kuvujishwa na corona, unajisikia uchovu wee husikubali kupumzika kwa kulala, simama tembea tembea fanya mazoezi, kwa pamoja tutaishinda corona.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
 
Wakiwa wanaonekana wanabeza juhudi na jitihada zote za kupambana na janga hili ikiwemo wazo la Mh raisi la kujifukiza nimefika jwenye hoteli moja ambamo wamelala wabunge kadhaa wa upinzani wahudumu wanalalamika kwamba wanatuma zile burika za mahotelini kuwekea miti shamba ambapo wana we za kusababisha Maganga ya moto, huko nje wanajifanya Kubeza na kukejeli zoezi zina la kujifukiza na wengine hata kuihusisha na Imani za kishirikina haya Viongozi msitupotoshe
 
Duh huu ndo mtaji mkubwa wa CCM.
 
pombe kali, mara Bia yetu, naona leo mmeamka na uzushi tu...
Endeleeni
 
Wakiwa wanaonekana wanabeza juhudi na jitihada zote za kupambana na janga hili ikiwemo wazo la Mh raisi la kujifukiza nimefika jwenye hoteli moja ambamo wamelala wabunge kadhaa wa upinzani wahudumu wanalalamika kwamba wanatuma zile burika za mahotelini kuwekea miti shamba ambapo wana we za kusababisha Maganga ya moto, huko nje wanajifanya Kubeza na kukejeli zoezi zina la kujifukiza na wengine hata kuihusisha na Imani za kishirikina haya Viongozi msitupotoshe
Kama kuandika kwenyewe ndo huku basi kuongea utakua unaongea kama una matatizo ya upumuaji
 
Wakiwa wanaonekana wanabeza juhudi na jitihada zote za kupambana na janga hili ikiwemo wazo la Mh raisi la kujifukiza nimefika jwenye hoteli moja ambamo wamelala wabunge kadhaa wa upinzani wahudumu wanalalamika kwamba wanatuma zile burika za mahotelini kuwekea miti shamba ambapo wana we za kusababisha Maganga ya moto, huko nje wanajifanya Kubeza na kukejeli zoezi zina la kujifukiza na wengine hata kuihusisha na Imani za kishirikina haya Viongozi msitupotoshe
Burika ndo nini?tulia uandike taratibu mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom