Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

Nyungu wakuu....wiki nzima...asubuhi mchana na jioni...tungepewa muda maalum, watakaoonekana wanazurula mida ya kupiga nyungu, wachukuliwe hatua kali...

Hapa bado jani la Bob Marley kuhalalishwa nchi nzima tupige fegi...

Everyday is Saturday.....................😎
 
USA taifa kubwa mnakowasabikia, walipendekeza watu wanywe klorokwin
Asante mkuu. Nafikiri tumedhihirisha sisi ni taifa la WAJINGA kweli kweli. Huwa najiuliza, hawa wanaopinga tiba mbadala, sayansi imeleta tiba gani? Kama hakuna tiba sahihi iweje watu wakejeli matumizi ya tiba mbadala wakati huu dunia inahaha kutafuta tiba sahihi?

Elimu ama kweli inaweza kumtoa mtu gizani na kumuingiza kwenye shimo la giza!! Haya, niko tayari kuacha matumizi ya tiba mbadala, naomba mnipe tiba ya kisayansi ambayo itanihakikishia usalama wangu. Sitaki habari za social distancing, au mabarakoa kwani hayo yote nayatumia pamoja na tiba mbadala.

Let's go!!

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Wachungaji feki kwisha habari yao..
safari hii hawakamati mwana kondoo wala mwana mbuzi....
 
U
Wewe inaonekana una ufinyu wa kufikiri, hakuna Nchi inayocheka wenzie kipindi hichi cha Corona, watu wanafukuzia kwa kutumia dawa za asili na wanapona, we endelea kukalia mitandaoni ili mradi uonekane unachangia kwa vitu usivyohelewa.

Nasikitika kuona watanzania wengi wana ufinyu wa kifikra, wamekalia utandawazi wanasahau mila na desturi za kitanzania.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Tafiti gani zinasupport hiyo Tiba ya kishirikina mnayoishupalia?Mimea gani inayitumika?Au ni mkorogo?
 
Siku mkiona akina Pompeo wameshuka kuja kuchukua nyungu sijui mtasemaje!?
Hawafanyi huo ujinga wenu,that's the same as suicidal act.How sure you're going to be cured from COVID-19 by steaming with unknown mixture of local herbs? Are you kidding?
 
Na huko watahama soon watarudi kwa watabibu, ila dawa ikipatikana tu kongole inaenda kwa bwana Yesu
 
Nyungu wakuu....wiki nzima...asubuhi mchana na jioni...tungepewa muda maalum, watakaoonekana wanazurula mida ya kupiga nyungu, wachukuliwe hatua kali...

Hapa bado jani la Bob Marley kuhalalishwa nchi nzima tupige fegi...

Everyday is Saturday.....................😎


🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Sawaaa
IMG-20200430-WA0052.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachungaji na maombi uchwara yamefeli, sasa tunajaribu upande wa asili.... tunatapatapa tu ilimradi tusionekane kukaa bure.
 
Tahadhari ichukuliwe juu ya kuvuta carbon monoxide, Moshi unatoka kwenye mkaa. Ikiwezekana sufuria liopolewe kutoka jikoni, halafu ndio kujifukiza kuanze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari,

Bila kuchoshana sana napenda niende moja kwa moja kwenye mada taja hapo juu,

Tukiwa tupo katika vita kubwa ya kupigana na mmoja kati ya maadui wakubwa watatu wa Taifa letu ajulikanae kwa jina maradhi (Magonjwa) na kipindi hiki akiwa amesajili Mshambuliaji hatari wa afya zetu al maarufu kwa jina la corona aka covid-19,nakubaliana na wazo lililotolewa na kiongozi mpambanaji mwenzetu la matumizi ya silaha iitwayo wiki ya kujifusha kiitaalamu akiipa jina la wiki ya nyungu.

Napenda kuchukua fursa hii kukaribisha wadau na wale wote wataalam wa uandaaji wa hii silaha karibuni hapa jamvini tupeane dodoso,miongozo na njia mbali mbali za kutayalisha silaha hii muhimu kwa ajili ya hii vita iliyopo mbele yetu

Angalizo: Adui corona yupo mitaani kwetu na anauwa,na wengi wanaoishi na adui corona hawana dallli hata za mafua achiaa mbali homa kali.Jilinde,ilinde familia yako,linda wanaokuzunguka walinde na Watanzania wenzio.
Kwa pamoja tunashinda.
 
Angalizo:Adui corona yupo mitaani kwetu na anauwa,na wengi wanaoishi na adui corona hawana dallli hata za mafua achiaa mbali homa kali.Jilinde,ilinde familia yako,linda wanaokuzunguka walinde na Watanzania wenzio.
Kwa pamoja tunashinda.
Kwakweli hali inatisha watu tutaanza kuogopana sio anaekohoa anepiga chafya wala mzima kila mmoja ataanza kumshtukia mwenzake
 
Kwakweli hali inatisha watu tutaanza kuogopana sio anaekohoa anepiga chafya wala mzima kila mmoja ataanza kumshtukia mwenzake
Ndio tupambane na adui yetu chief kwa umoja wetu,hatuna haja ya kupambana wenyewe kwa wenyewe katika hili.
 
Steam Kujivukiza ndio hii sasa kizungu inaitwa Steam

Steam
helps break up mucus so you can expel it more easily. The easiest way to use steam is in the bath or shower. Make your shower as hot as you can handle, step in, then breathe deeply through your mouth and nose.

The hot water will also help relax muscles that may be tense from coughing. You can also visit a steam room at a gym or spa, if one’s available and you have enough energy. It’s best not to soak in a hot bath if you feel ill or short of breath.

*Another steam option involves putting hot water in a bowl, covering your head with a towel, and inhaling the steam. Some people add a mentholated vapor rub to the hot water to help with moving mucus. The bowl-and-towel method can be dangerous, though, because the water could be hotter than you intended, which could cause the steam to burn your airways. Do not stay over the hot water for more than a minute or two at a time, and don’t continue to heat the water.
 
Back
Top Bottom