Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Virus gani ambayo Tanzania imewahi kuugua wakatumia hii njia wakapona,hivi unajua ugonjwa unaosababishwa na virus kweli au unaongea,ingekuwa bakteria sawa,usicheze na virus ambao kisayansi wana tabia ya kubadilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kuna dawa za kutibu maralia lakini ilihali malaria bado inaua..!?Kuna ushahidi kuwa Corona inatibiwa kwa kujifukiza?Kwanini tusiiprove kisayansi kama inafanya kazi na ipitishwe na wizara ya afya?Ndassa kafa huku akiwa anajifukiza hotelini!
Watu hufa kutokana na kuchelewa kupata tiba mpaka ugonjwa unakuwa irreversible!Ila most cases wanapona na imekuwa scientifically proved kuwa wadudu huuwawa kwa kutumia dawa hizo!Ndio maana nami nataka tufanye utafiti wa kujifukiza na iwe rasmi na sio suala la kubahatisha!Mbona kuna dawa za kutibu maralia lakini ilihali malaria bado inaua..!?
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hii kitu tunalichukulia easy easy sana lakini ni sawa unaweza kujifukiza endepo tu virus bado havijaingia ndan ya mwil yan vikiwa nje lakn vikiingia ndani ya pua mdomo Ata ujifukize pipa Zima unafanya patapoteaMkuu kwani waliokufa na wanao ambukizwa hawatumii huo ushsuri
Ni hatari..Me ndio kila siku napiga lecture sababu we jiulize yan dunia nzima wanapambana na corona tanzania wao wanaugonjwa wao mpya wa tatizo la kushindwa kupumua, kila siku nawaambia wazazi na nawaaambia ukweli sababu bila hivyo ni itakuwa shida
Sent from my iPhone using JamiiForums
Korona ni ugonjwa upya kwa nin tunapenda kuishi kimazoeacutelove, Kwani hapo mwanzo tanzania ilikuwa haiugui magonjwa jamii ya haya na watu walitumia njia za asili kutibiwa na walipona sasa cha ajabu kwa waziri Jafo ni nini..!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aonyeshe mfano. Atume na video tuone anavyofanya.
black sniper,
Bleach (chlorine) imemwagwa kwa ajili ya kuua virus na wananchi kulalamika ni kawaida hata USA hawataki kufungiwa japokuwa wanapewa pesa za kukidhi mahitaji kwa wasiojiweza.