Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maiti zingekuwa zinasema basi Ndassa angetoa ushuhuda muhimu sana. Laiti angemsikiliza Ndugulile basi muda huu angekuwa ameshapiga supu yake ya mbuzi asubuhi hii tayari kwa kuingia mjengoni ila ndo hivyo leo anazikwa.Mkuu, huu ni ubashirii au ndivyo ilivyo?
Thibitisha mkuu
Si unajua kama Taifa tumetingwa ni muda Muafaka kujaribu kila tiba[emoji848]
Ushahidi kuwa tutafukiwa tunautaka shehe yahaya.Nakuhakikishia wakijaribu huu ujinga watu mtashangaa. Asilimia 80 ya watakaojifukiza watafukiwa!
Hamaanishi kila kitu tujaribu.Si unajua kama Taifa tumetingwa ni muda Muafaka kujaribu kila tiba[emoji848]
Maiti zingekuwa zinasema basi Ndassa angetoa ushuhuda muhimu sana. Laiti angemsikiliza Ndugulile basi muda huu angekuwa ameshapiga supu yake ya mbuzi asubuhi hii tayari kwa kuingia mjengoni ila ndo hivyo leo anazikwa.
Waziri wa TAMISEMI Mh Seleman Jaffo amependekeza itengwe wiki maalumu ya kujifukiza maarufu kama kupiga Nyungu
Mh. Jaffo ameshauri wanaume ndio waongoze kwenye hilo zoezi la kupiga Nyungu
"Wanaume, wanawake na watoto wote tupige Nyungu huenda tukaokoa Taifa"
Kama Kuna wiki ya Wanawake,wiki Maleria Basi kuwe na Wiki ya kupiga Nyungu Kitaifa.
NB. inaonekana huu ndio msimamo wa serikali watu kujifukiza...
Angalia kuanzia dakika ya 18
Mkemia yupo Frontline kuongoza mapambano ya Corona kwa kujifukiza.Ushauri wa Mkemia umefanya kazi kweri kweri.
Majani yoyote unayohisi ni dawa, Muarobaini,mlingoti,mpera, mchaichai nk. Piga mix ya maana humoAnayejua mahitaji yanayotakiwa wakati wa kuandaa nyungu, msaada tafadhali.
Mapafu yakishindwa kufanya kazi ubongo nao unakuwa kwenye hatihati.Nadhani hii Covid19 haishambulii mapafu pekee, pengine ubongo ndio mwathirika mkuu
Yule alikamatwa kwa ushauri wake mrua kabisa.Na yule wa upupu na pili pili kichaa msisahau kumtengea siku.