ECONOMY
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 680
- 481
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuhakikishia wakijaribu huu ujinga watu mtashangaa. Asilimia 80 ya watakaojifukiza watafukiwa!Waziri wa TAMISEMI Mh Seleman Jaffo amependekeza itengwe wiki maalumu ya kujifukiza maarufu kama kupiga Nyungo
Mh. Jaffo ameshauri wanaume ndio waongoze kwenye hilo zoezi la kupiga Nyungo.
"Wanaume, wanawake na watoto wote tupige Nyungu huenda tukaokoa Taifa"
Tuufanyie kazi ushauri wa Waziri JaffoVyovyote iwavyo, Corona ni hatari ukizingatia kwamba, bado tunataka kuishi, Tutafanya
Tusishangae ikatokea siku ya kutengwa kwa wiki ya kujifukiza Kitaifa.
Twende pamoja mkuu[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Nadhani hii Covid19 haishambulii mapafu pekee, pengine ubongo ndio mwathirika mkuu
Tuufanyie kazi ushauri huenda tukaokoa Taifa [emoji23][emoji23]Nakuhakikishia wakijaribu huu ujinga watu mtashangaa. Asilimia 80 ya watakaojifukiza watafukiwa!
Siyo wote ambao huwa tunafuata ushauri wa watu mtaani lakini likikufika utajikuta unatafuta mchanganyiko wake kuokoa maisha yako au ya umpendaeMtakao jifukiza mtupe mrejesho mambo yanaendaje siwez kufuata agizo la mtu ambae sio mtaalam wa afya
When bullshit meets leadership.Waziri wa TAMISEMI Mh Seleman Jaffo amependekeza itengwe wiki maalumu ya kujifukiza maarufu kama kupiga Nyungo
Mh. Jaffo ameshauri wanaume ndio waongoze kwenye hilo zoezi la kupiga Nyungo.
"Wanaume, wanawake na watoto wote tupige Nyungu huenda tukaokoa Taifa"
NB. inaonekana huu ndio msimamo wa serikali watu kujifukiza.
Mkuu, huu ni ubashirii au ndivyo ilivyo?Nakuhakikishia wakijaribu huu ujinga watu mtashangaa. Asilimia 80 ya watakaojifukiza watafukiwa!
Yeye sio doctor. Na covid haiondoki kwa kujifukizaTuufanyie kazi ushauri huenda tukaokoa Taifa [emoji23][emoji23]