Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

Madaktari wapo kimyaaa hakuna anayerecommend nyungu

ila wanasiasa wamegeuka wataalam wa miziziology

Hakuna shortcut kwenye Korona, tumeacha reccomendation zote za kitaalamu tumegeukia uganga wa kienyeji
 
Kama leo nimetembeza lecture kwa maza na faza hatari maaana wao ni kijani ilembaya.
Upuuzi kama huu wa Jafo wanweza kuutilia maanani.

Me ndio kila siku napiga lecture sababu we jiulize yan dunia nzima wanapambana na corona tanzania wao wanaugonjwa wao mpya wa tatizo la kushindwa kupumua, kila siku nawaambia wazazi na nawaaambia ukweli sababu bila hivyo ni itakuwa shida

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Siyo wote ambao huwa tunafuata ushauri wa watu mtaani lakini likikufika utajikuta unatafuta mchanganyiko wake kuokoa maisha yako au ya umpendae
mkuu hiv hiyo tiba imethibitisha kitaalam au ndio kama kikombe cha babu wa loliondo but still scientific research zinaonesha kujifukiza kunaweza kuleta shida kweny respiratory system kwa sabubu kweny pua kuna capillaries nyingi ambazo Kaz yak ni kupasha joto hewa inayoingia kutumia mvuke unaweza Kupasua blood vessel kweny pua au trachea kwa sababu hewa inaingia na kias kikubwa cha maj pil hewa inaingia Puani na joto kubwa na ukaongeza tatizo lingine

Tulipo fika Sasa kila mtu atumie njia anazojua kwangu mm ntafata ushauri wa kitabibu nawa mikono kwa sabun au sanitizer kwa maji tiririka na kuepukana na mikusanyiko self lockdown
 
Waumini uamini kila waambiwalo na mungu wao,mbona mungu wao kajificha gamboshi mbona ajifukizi
 
Waziri wa TAMISEMI Mh Seleman Jaffo amependekeza itengwe wiki maalumu ya kujifukiza maarufu kama kupiga Nyungu

Mh. Jaffo ameshauri wanaume ndio waongoze kwenye hilo zoezi la kupiga Nyungu

"Wanaume, wanawake na watoto wote tupige Nyungu huenda tukaokoa Taifa"

Kama Kuna wiki ya Wanawake,wiki Maleria Basi kuwe na Wiki ya kupiga Nyungu Kitaifa.

NB. inaonekana huu ndio msimamo wa serikali watu kujifukiza...

Angalia kuanzia dakika ya 18

Lengo ni kuokoa pesa?
 
Wazo la kujifukiza lingetolewa na chadema uhujumu uchumi ungewahusu
 
Mara tatu kwa siku maana yake hamna kwenda kazini... Huyu jamaa naye alishapoteza uwezo wa kufikiri.
 
Hakuna dawa ya kizungu iliothibitishwa hadi sasa kutibu Covid-19, wala hakuna chanjo.
Tulichoshauriwa ni social distancing na testing.

Kwa Taifa kama letu,kuwa na PLAN B yaani tiba asilia ni mbadala and may be more effective kuliko dawa za kizungu kwa sasa.

Kuna watu hadi miaka 20 hawakuwahi kutibiwa hospital bali tiba asili. Kuna hasara gani ya kujifukuza mapema, kama hata ukisubiri huduma ya hospital huwezi kupata,kifaa cha kusaidia kupumulia ventilator ni kama kushinda bahati nasibu ya dollar milioni.

Kwa sasa kutegemea serikali yetu tu ichukuwe hatua ni sawasa na kujitia kitazi.Mwenye macho atatazama.
 
Majani yoyote unayohisi ni dawa, Muarobaini,mlingoti,mpera, mchaichai nk. Piga mix ya maana humoView attachment 1435181
mkuu mimi sidharau hizi mambo kwa kuwa nishawai pikiwa na bibi yangu zamaani kwa ajili ya kutibu homa kali na nikapona.

hivyo mimi kama mimi kujifukiza wala sidharau nimewai jifukiza mwenyewe kwa kutumia muarobaini pia nilipona tatizo.

kuna mambo sio ya kufata mkumbo wa watu wanaokejeli kumbe na wao wanajifukiza makwao huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
black sniper,
Bleach (chlorine) imemwagwa kwa ajili ya kuua virus na wananchi kulalamika ni kawaida hata USA hawataki kufungiwa japokuwa wanapewa pesa za kukidhi mahitaji kwa wasiojiweza.
 
wazunguwawili,
Mungu tunakuomba uifutie dhambi zote Tanzania , maana sasa imethibitika kwamba aina ya ubongo uliouweka kwenye vichwa vya viongozi wake si ubongo wa binadamu
 
mkuu mimi sidharau hizi mambo kwa kuwa nishawai pikiwa na bibi yangu zamaani kwa ajili ya kutibu homa kali na nikapona.
hivyo mimi kama mimi kujifukiza wala sidharau nimewai jifukiza mwenyewe kwa kutumia muarobaini pia nilipona tatizo.
kuna mambo sio ya kufata mkumbo wa watu wanaokejeli kumbe na wao wanajifukiza makwao huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo kwa graund ni tofauti [emoji23][emoji23]
 
mkuu hiv hiyo tiba imethibitisha kitaalam au ndio kama kikombe cha babu wa loliondo but still scientific research zinaonesha kujifukiza kunaweza kuleta shida kweny respiratory system kwa sabubu kweny pua kuna capillaries nyingi ambazo Kaz yak ni kupasha joto hewa inayoingia kutumia mvuke unaweza Kupasua blood vessel kweny pua au trachea kwa sababu hewa inaingia na kias kikubwa cha maj pil hewa inaingia Puani na joto kubwa na ukaongeza tatizo lingine

Tulipo fika Sasa kila mtu atumie njia anazojua kwangu mm ntafata ushauri wa kitabibu nawa mikono kwa sabun au sanitizer kwa maji tiririka na kuepukana na mikusanyiko self lockdown

Mkuu kwani waliokufa na wanao ambukizwa hawatumii huo ushsuri
 
Back
Top Bottom