Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Kuna watu wamechukua maamuzi ya kufanyia uhai wa wenzao majaribioWHO wamesha nawa mikono sisi hatufuati ushauri wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wamechukua maamuzi ya kufanyia uhai wa wenzao majaribioWHO wamesha nawa mikono sisi hatufuati ushauri wao
Hah haa haaaaBado kuvua nguo tu na kurudi kinyumenyume.
Spain watakosa watalii mwaka huuMwisho watasema tuchome moto miji yote ili tuanze upya
Lakini ukishangaa ya kwetu angalia ya Spain ambapo wameamua kumwaga bleach kwenye fukwe za bahari na imeleta taharuki na hasira kwa wananchi
Mpaka Corona inaisha tutasikia mengi View attachment 1435044
Sent from my iPhone using Tapatalk
Nasema na nassisitiza kauli yangu nchi kama nchi imeshakwama...
Kama hawa(akili hizi) ndizo tunazotegemea zituvushe kwenye janga hili.
Tumekwisha
Kwa hiyo CCM wanataka kusema kuwa Mungu ameshindwa Sasa wanahamia kwa shetani, sivyo?View attachment 1435020
Katika harakati za kupambana na janga la virusi vya corona, Waziri Selemani Jafo amependekeza kuanzishwa kwa wiki ya nyungu kitaifa. Wiki hiyo itatimiza upigaji wa nyungu asubuhi, mchana ma usiku. Amewaasa watanzania kuto kebehi upigaji wa nyungu kwa kuuita kama uganga wa kienyeji na kusisitiza ulaji wa vyakula asili kama mapapi,ubuyu na kisamvu ambavyo vinaweza kuimarisha kinga ya mwili.
Fahamu zaidi kuhusu nyungu na faida zake
Majani ya Mvuje kiboko ya wachawi na majini, mfunge mwanao - JamiiForums
Kama leo nimetembeza lecture kwa maza na faza hatari maaana wao ni kijani ilembaya.Narudia Tena kama una ndugu zako jaribu kuwa balozi na waambien ukweli kwamba nchi ishakwama yan hakuna kitu hapo kabisa na uwape ushauri wa namna ya kukaa kitaalam haina mana we ubaki pekeako alafu ndugu zako wapukutike wote na TATIZO LA KUSHINDWA KUPUMUA 🤣🤣🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Spain watakosa watalii mwaka huu
Bora uhai uwepoYaani Utalii ndio kwisha tena kwa Ulaya mwaka huu, maana sasa ni summer ambapo walikuwa wanaingiza pato kubwa sana kwenye utalii
Mpaka waje kufungua mipaka ni September na summer itakuwa inaishia
Kweli mwaka huu ni mtihani kila mahali
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kuna ushahidi kuwa Corona inatibiwa kwa kujifukiza?Kwanini tusiiprove kisayansi kama inafanya kazi na ipitishwe na wizara ya afya?Ndassa kafa huku akiwa anajifukiza hotelini!Kwani hapo mwanzo tanzania ilikuwa haiugui magonjwa jamii ya haya na watu walitumia njia za asili kutibiwa na walipona sasa cha ajabu kwa waziri Jafo ni nini..!?
Sent using Jamii Forums mobile app
inaweza kuwa na msaada lakini kwa jinsi inavyoshauriwa shagalabagala kuna watu wataenda na maji. mfano mtu mwenye pumu atapona kweli?Mungu wangu.. Kama huu ndio msimamo wa viongozi wetu... TUMEKWISHA
Jr[emoji769]
Virus gani ambayo Tanzania imewahi kuugua wakatumia hii njia wakapona,hivi unajua ugonjwa unaosababishwa na virus kweli au unaongea,ingekuwa bakteria sawa,usicheze na virus ambao kisayansi wana tabia ya kubadilikaKwani hapo mwanzo tanzania ilikuwa haiugui magonjwa jamii ya haya na watu walitumia njia za asili kutibiwa na walipona sasa cha ajabu kwa waziri Jafo ni nini..!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Au mwenye ulcersinaweza kuwa na msaada lakini kwa jinsi inavyoshauriwa shagalabagala kuna watu wataenda na maji. mfano mtu mwenye pumu atapona kweli?