Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

Ushauri ukitaka nyungu ipendwe
Sema
Inapunguza kitambi
Inaongeza nguvu za kiume
Inaleta mvuto
NA KAZALIKA


Jr[emoji769]
 
Nyungu ya kujifukiza wanatakiwa wapige wale wanaohisi hali fulani ambayo siyo, si kila mtu hata ambaye hajisikii hovyo...labda nyungu ya juice ya malimao na tangawizi unaweza kupiga tu kama kawaida....
 
Ushauri ukitaka nyungu ipendwe
Sema
Inapunguza kitambi
Inaongeza nguvu za kiume
Inaleta mvuto
NA KAZALIKA


Jr[emoji769]
apo kwenye kuongeza nguvu za kiume ndo penyewe, Mshana Jr, ila nadhani mwanaume kama hana hela nguvu ndo zinasuasua kwa sababu ya presha ya empty pocket, au
 
Tanzania raha ,tunaongozwa na kiongozi mwenye akili na uwezo mkubwa sanaa..... thanks God

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…