Waziri Silaa aagiza Mwenyekiti wa Mtaa akamatwe kwa kuuza eneo la Mchina akijua kafa na Corona

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mwanjelwa aliyejulikana kwa jina la Brayan Mwakalukwa na Ezekiel Mwanje mwakilishi wa mmiliki wa anayedaiwa kuuziwa Nyumba ambayo ni mali halali ya Li Shi Cai ambaye ni mwekezaji raia wa China wakidhani amekufa na Korona.

Waziri Silaa ameagiza kutafutwa mtu mwingine mmoja anayefahamika kwa jina la Nida ili aweze kueleza jinsi alivyozibeba milioni 80 ambazo ni pesa za mauzo ya nyumba ya Li Shi Cai.

Waziri Silaa ametoa maagizo hayo mapema leo Aprili 18, 2024 alipotembelea eneo hilo lililopo katika mtaa wa Mwanjelwa jijini Mbeya ili kusikiliza na kutatua mgogoro huo.

Watu hao walichukua hatua ya kuuza eneo hilo baada ya kudhani Li Shi Cai amekufa na ugonjwa wa Corona hivyo eneo hilo kukosa mmiliki, wakati mtu alikuwa hai na hakuonekana kutokana na majukumu yake.
 
Hatari sana.
NB;Anaitwa Jerry Slaa.Na siyo Silaa.Au ameapa mahakamani na kubadilisha jina?
 
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mwanjelwa aliyejulikana kwa jina la Brayan Mwakalukwa na Ezekiel Mwanje mwakilishi wa mmiliki wa anayedaiwa kuuziwa Nyumba ambayo ni mali halali ya Li Shi Cai ambaye ni mwekezaji raia wa China wakidhani amekufa na Korona.

Waziri Silaa ameagiza kutafutwa mtu mwingine mmoja anayefahamika kwa jina la Nida ili aweze kueleza jinsi alivyozibeba milioni 80 ambazo ni pesa za mauzo ya nyumba ya Li Shi Cai.

Waziri Silaa ametoa maagizo hayo mapema leo Aprili 18, 2024 alipotembelea eneo hilo lililopo katika mtaa wa Mwanjelwa jijini Mbeya ili kusikiliza na kutatua mgogoro huo.

Watu hao walichukua hatua ya kuuza eneo hilo baada ya kudhani Li Shi Cai amekufa na ugonjwa wa Corona hivyo eneo hilo kukosa mmiliki, wakati mtu alikuwa hai na hakuonekana kutokana na majukumu yake.
Je, anawezaje kuuza ardhi ambayo hana uhalali nayo ktk kuimiliki??
Mauziano hayo yanaweza kuwa halali kisheria?
 
Chezea watu wewe. Kuna limwanamke furani wilayani Geita,lilifoji nyaraka za umiliki wa mashamba na nyumba,likiwa kwenye harakati za kuua mme wake. Bahati mbaya,mwanaume alikuja kugundua. Mipango ilisukwa na mwanaume anaefanyakazi na mme wake. Yaani,mwanamke anataka mfanyakazi wa mme wake amusaidie kuuwa,abaki na mali,huku ikionekana alikabidhiwa kabla ya kifo.

Sasa,usishangae na hawa wakawa walifoji nyaraka za kumikikishwa auu kuuziwa, kwa vile waaliamini mmiliki hayupo tena hai,walijua dili limekaa poa.
 
'The Game of Russian Roulette.'
 
Back
Top Bottom