Waziri Silaa atinga Kariakoo, asema jengo lililouzwa lina Waqfu uliosajiliwa wizarani. Amshauri mnunuzi akamalizane na aliyempa hela

Hongera zake waziri Slaa, lakini bado tuna safari ndefu ya kuweza kutatua changamoto za ardhi, tukiwa na taasis madhubuti tutaweza kufanikiwa zaidi kuliko kuwa na mtu madhubuti, waziri ameacha kazi zake muhimu na kwenda Kariakoo kutatua tatizo ambalo kama tungekuwa na taasisi imara basi hata ofisi za ardhi wilayani zingemaliza utata huu, ambao usuluhishi wake upo wazi wa kufuata wasia wa marehemu ambao uliyosajiliwa mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…