Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Hivi sasa kuna migogoro kila mahala juu ya kuwepo kwa ulinzi shirikishi. Mfano mtaani kwangu mwenyekiti wa mtaa ambaye ni wa CCM kawa mwizi kabisa maana analazimisha kila mkazi wa kitongoji mwenye nyumba alipe Tshs.10,000 kwa mwezi suala ambalo analibeba kama vile ni kesi.
Sasa hivi anatishia kupeleka watu polisi nikiwemo mimi. Tshs.10,000 kwa mwezi ni nyingi sana. Halafu hana walinzi wawili tu. Huyu mzee ni mwizi. Kama kilivyochama chake. Nimefanya utafiti sehemu nyingi wanalipa Tshs.3000.
Leo nimemsikia Waziri wa Mapolisi George Simbachawene akitoa maelekezo juu ya kuimarisha ulinzi kupitia ulinzi shirikishi. Waziri ajiulize mbona kipindi cha kudhibiti Wapinzani aombi ulinzi shirikishi?
Tanzania ina jeshi kubwa sana la polisi ambalo linafanya kazi kijinga mno. Hawa maarufu Tigo wapo busy na bodaboda mchana usiku wamelala sasa nchi ngani inaogopa kulinda Wananchi wake Usiku?
Hii nchi ina mambo ya hovyo sana. Waziri mjipange hata kuimarisha doria usiku, ili suala la ulinzi na kuanza mtaa uajiri Walinzi ni kuleta sokomoko mitaani.
Toeni ama zungumzeni na TAMISEMI waweke walinzi hata hawa SUMA JKT kila ofisi za serikali za mitaa italeta tija kuliko kuliacha kwa kila mjumbe ajipangei malipo yake. Na hili linawapata watu kugomea mambo ya ulinzi kutokana na kuchezea CHAGUZI zetu.