Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Badala ya kutumia wananchi ambao nao wanakabiliwa na majukumu mengine asubuhi watajikuta wanasinzia maofisini au kwenye vibarua vyao.
Jukumu la ulinzi ni la Polis, Si la raia.Hata Mwendazake alipiga vita walinzi shirikishi.Walijigeuza kuwa vikundi vya uhalifu vya kunyanyasa raia na kupokea rushwa.
Serikali ijipange,,Polisi mchana wawe wachache usiku wamwagwe wenge mitaani.
Polis iachane na kulinda mabenki au taasisi mbali mbali na badala yakezilindwe na suma jkt.
hao askari wasambazwe mitaani badala ya kulinda taasisi.
Ikiwa hawatoshi kuna migambo hawana kazi. Wachukuliwe hao wapelekwe nchi nzima.