Waziri Simbachawene acha kuingiza raia kwenye ulinzi. Polisi wako wanafanya nini?

Waziri Simbachawene acha kuingiza raia kwenye ulinzi. Polisi wako wanafanya nini?

Haya mambo ya ulinzi shirikishi ukiyajibu kisiasa au kiushabiki au tena kim hemko hapa hatuwezi kuelewana kila mtu ata sema anavyojua yeye.
 
Sehemu nyingi duniani kuna ulinzi shirikishi mazee,hiyo kawaida

Ova
 
Back
Top Bottom