Waziri Simbachawene acha kuingiza raia kwenye ulinzi. Polisi wako wanafanya nini?

Badala ya kutumia wananchi ambao nao wanakabiliwa na majukumu mengine asubuhi watajikuta wanasinzia maofisini au kwenye vibarua vyao.

Jukumu la ulinzi ni la Polis, Si la raia.Hata Mwendazake alipiga vita walinzi shirikishi.Walijigeuza kuwa vikundi vya uhalifu vya kunyanyasa raia na kupokea rushwa.

Serikali ijipange,,Polisi mchana wawe wachache usiku wamwagwe wenge mitaani.

Polis iachane na kulinda mabenki au taasisi mbali mbali na badala yakezilindwe na suma jkt.

hao askari wasambazwe mitaani badala ya kulinda taasisi.

Ikiwa hawatoshi kuna migambo hawana kazi. Wachukuliwe hao wapelekwe nchi nzima.
 
ULINZI SHIRIKISHI SIO CHANZO CHA AJIRA.
 
Mi mwenyewe mtaani nipo kwenye kikundi Cha ulinzi shirikishi na kwakua hatuna posho usiku tukikukamata tunakusachi tunakunyang'anya kila kitu tumekua vibaka wenye vibali
 
Mi mwenyewe mtaani nipo kwenye kikundi Cha ulinzi shirikishi na kwakua hatuna posho usiku tukikukamata tunakusachi tunakunyang'anya kila kitu tumekua vibaka wenye vibali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuliko kuja hapa jukwaani na kutoa ushauri kwa lugha ya kejeli dhidi ya Waziri ni vema mkae kama jamii mpeane rate ambayo kila mtu ataimudu.

Watanzania tubadilike tuache mambo ya kihuni huni, mtu anakuwa na idea nzuri lakini lugha anayoandika hata Waziri akiiona ataona ni upuuzi tu.
 
Polisi waache kulinda bank walinde suma jkt?!! Hiv mkuu unajiskiliza unavyoongea lakin? Hawa suma wanaotumia pump action kulinda ndo uwakabidhi bank? Mtu akienda hata na bastola yenye risas 10 anavamia bank na anapiga tukio na kusepa
 
Suma jkt wamepitia mafunzo yote ya kijeshi

Wanauwezo wa kutumia silaha za kila aina

Hao mafunzo yao ni zaidi ya polisi

Hao mafunzo yao ni sawa na jwtz.
 
Ulinzi shirikishi ni jukumu letu sote

tulilinda enzi za Nyerere, Mwinyi na mkapa

vijana mmekua mlenda sana
 
Suma jkt wamepitia mafunzo yote ya kijeshi

Wanauwezo wa kutumia silaha za kila aina

Hao mafunzo yao ni zaidi ya polisi

Hao mafunzo yao ni sawa na jwtz.
Suma jkt hana mafunzo yoyote ya kumzidi polisi jkt kule ni kilimo na kulindia virungu na kuchezea SR tu alaf ile ni kampuni ya ulinz tu iliyo chin ya jkt huwez kumpa SMG mtu wa kwenye kampuni ya ulinzi
 
Bila police Jamii police hawezi Kazi.Police Jamii ndie anaewajua vibaka na wezi wote mitaani,ukiibiwa tafuta police jamii mpe hela mwizi akipatikana atakurejeshea gharama.
Kuibiwa ni faida niliibiwa tv na radio vyote jumla milioni 1.Nilimpata mwizi wangu na mnunuzi nikamwambia chagua miaka 30 jela robbery au unipe pesa hapa unapanga kiwango utakacho kama ni milioni 10 au zaidi unaangalia ulichoibiwa kimezaa mara ngapi.
 
Hivi ukilipa ikatokea ukaibiwa Huyo Mwenyekiti analipa au inakuaje?
Wanakwambiya wana uhakika gani kama ni kwl ulikuwa na vitu hivyo unavyodai vimeibiwa?

Na havipo sasa,,

Watathibitishaje kama ulikuwa navyo na kwl vimeibiwa usiku huo.?
 
Nijuavyo mm walinzi shirikishi ni sehemu ya askari.

Hivyo wanapaswa kulipwa na serikali sio RAIA.

Tanzania kuna mambo ya hovyo sana.
Kila siku kuwatwisha wanainchi mzigo wa maisha magumu
Tanzania hiyo ambayo walinzi shirikishi ni sehemu ya askari hivyo walipwe na serikali?!!!hakuna kitu kama hicho, askari wao ni kama waratibu tu, lakini ulinzi ni wa jamii husika ya mtaa, mkisema kila kitu mtegemee polisi mufwaaa!!!
 
Kuna wale Mgambo au walinzi shirikishi vituo vya police wanalipwa na nani?

Waache kuzidi kutupa mzigo wanainchi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…