MUME MASKINI JF-Expert Member Joined Jun 11, 2019 Posts 204 Reaction score 282 Nov 5, 2021 #41 Haya mambo ya ulinzi shirikishi ukiyajibu kisiasa au kiushabiki au tena kim hemko hapa hatuwezi kuelewana kila mtu ata sema anavyojua yeye.
Haya mambo ya ulinzi shirikishi ukiyajibu kisiasa au kiushabiki au tena kim hemko hapa hatuwezi kuelewana kila mtu ata sema anavyojua yeye.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Nov 5, 2021 #42 Sehemu nyingi duniani kuna ulinzi shirikishi mazee,hiyo kawaida Ova